Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,170
- 29,876
Kwani PhD ya Bashiru zaidi ya kuiba kura na kununua wapinzani brutaly ina faida gani kwa Taifa?Suala la PhD(Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Wote wanaozitoa (kuziuza) kuzinunua hawajui maana ya PhD. Hawa vilaza wetu wanatapeliwa sana na wajinga wengine. Sitashangaa kusikia Kenya na Nigeria wameanzisha vyuo hivi ili kuwaibia hawa vilaza walioogopa umande na wasiojua kitu.Suala la PhD(Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Wanaotoa ndio wanakosea; digirii za heshima huwa haziitwi Ph.D. kwani zinatolewa bila kuwapo Thesis wala viva voce; hizo zinaitwa Honoris Causa Doctor of Something; kwa mfano Doctor of Humane Letters, Doctor Of Humanities, Doctor of Literature, Doctor of Laws, Doctor of Leadership, Doctor of Divinity, Doctor of Arts, Doctor of Philosophy (D.Phil siyo Ph.D.), n.k. Nilishangaa hata UDSM eti walitoa Ph.D. kwa Mama. Watu hawa ambao walimpa Nyerere Honorary Doctor of Literature Honoris Causa akiwa ameandika vitabu zaidi ya 30 leo hii wanaota Ph.D. kwa mtu ambaye hajaandika chochote.Suala la PhD(Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Na wewe endelea kugawa tu.nyie peaneni tu
Suala la PhD(Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Hujui usemalo vingine wewe ndiye huyu Tale. Unadhani kumpromoti muuaji wa maadili kama Nasib ni deal kwa taifa? Kama wewe ni wale wanaoweza hata dada na mama zao kwa vile wanapewa dola, hili ni dili kubwa tuAcha wivu Mkuu
Babutale kafanya Mambo Makubwa kuzidi prof lipumba
Mjiinga(mtu asiyesoma) Dr Babu Tale.Ni kiwango cha juu cha upumbafu Nyerere alikuwa nazo kama nne hivi lakini hakuwahi kujiita Dokta , kuja viwatu vimenunua hizo pHd feki kwenye vyuo vya mchongo ole wako isimuite dokta kitaumana, hii yote ni sababu ya kudhani kwamba kila kitu ni shortcut, tunatakiwa kujitafakari sana mbona China Malaysia etc hawaendekezi huu upuuzi? eti babu tale naye analazimisha tena bungeni aitwe dokta Stupid kabisa darasa la saba kichwani mweupe kisa ana kiubunge cha mchongo anafokea watu.
Usomi ni wa kuhenyewa kiusomi, si wa kupewa kama njugu.Acha wivu Mkuu
Babutale kafanya Mambo Makubwa kuzidi prof lipumba
Hakika, ujinga si kitu cha kuheshimiwa halikadhalika na wajinga pia. Ukimtunuku mtu mjinga kitu chochote zaidi ya kumfundisha, ni kuutusi uerevu pamoja na kuwatusi werevu.Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Huyo mtu ni mfano wa ujinga mwingi. Kwa bahati mbaya riziki haibagui wajinga au werevuAcha wivu boss kua mbunge sio kitu cha mchezo watu ............Dr tale tale ni zaidi ya PHD alionayo ni true hustler kama unaona rahis jaribu uone sizani kwenye ukoo wenu kuna hata mkuu wa wllaya........uyo lipumba hadi leo tabora ajasaidia chochote just mpuuzi tu
Sawa boss ila heshimu struggle za wenzio hata kama umewazid kiacademic wao wamekuzid kiuchumi na kijamii pia........Huyo mtu ni mfano wa ujinga mwingi. Kwa bahati mbaya riziki haibagui wajinga au werevu
Ku-struggle ni jambo moja na ku-acquire academic credentials ni jambo lingine. Tusilazimishe eti kwasababu mtu amefanikiwa kiuchumi au kimaisha basi apewe academic rewards. Huo ni ujinga mwingiSawa boss ila heshimu struggle za wenzio hata kama umewazid kiacademic wao wamekuzid kiuchumi na kijamii pia........
Utaambiwa wivu unakusumbua.Suala la PhD (Doctor of Philosophy) zinazotolewa kama za heshima, sasa si tu linakera, bali sasa linarahisisha na kudharaulisha maana hasa ya elimu...
Halafu mjinga anaenda bungeni kutetea ujinga wa PhD heshima na ya kijinga aliyopewa.Hakika, ujinga si kitu cha kuheshimiwa halikadhalika na wajinga pia. Ukimtunuku mtu mjinga kitu chochote zaidi ya kumfundisha, ni kuutusi uerevu pamoja na kuwatusi werevu.