Watu waache unafiki na uchawa

Erick tech

New Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
4
Reaction score
2
Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi.

Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
 
Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongoz anakuja mahal fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yan unakuta vurugu nyingi na ilhal mahal alipo kuna viongozi.
Je hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…