Kang So this Jammer zinaweza cover how long distance ambazo ziko.available sokoni? Je zinapatikana kwenye shopping store zipi za online? Nimecheki Ebay naona most of sellers are from.Russia and they dont ship to Tanzania,Jamer zipo unaweza kununua hata wewe mtandaoni ila ni kosa kubwa kisheria kuzitumia.
Kuna jamaa alifungwa marekani alikuwa anajamu simu wakati akienda kazini kwa vile watu walikuwa wanamboa wanapiga makelele kwenye simu zao, nadhani alinunua china.
Wanajeshi iraq pia wanazitumia kuzuia mabomo ya kutengeneza nyumbani ya magaidi kulipuka kwa vile wanatumiaga sana njia ya simu kuyafyatua.