Vimto niliinywa tanga miaka ya 80 mwishoniMimi menikumbusha soda za VIMTO tu hapa,TABORA i miss u!
Vimto niliinywa tanga miaka ya 80 mwishoniMimi menikumbusha soda za VIMTO tu hapa,TABORA i miss u!
Umenikumbusha mbali sana kilikuwa kinywaji changu pendwa nilipokuwa mdogoNdio kwanzaa naiona leo mtandaoni. Ladha yake ikoje,kama coca,pepsi,mirinda nyeusi ama?
Tuleteeni basi na sie wa mikoani.View attachment 945991
#tusichekanekuulizasioujinga#