Hili la pwani kwetu lilizua balaa baada ya mmakonde kudai ''sisi watu wa pwani tunapenda wali'' hoja ikaanza watu wa pwani ni wapi? Je watu wa Chalinze, Lushoto, Masasi nk wana sifa ya pwani kwa vile tu wako mikoa iliyopakana na bahari? Ubishi mkubwa uliibuka bila kuwa na compromise kiasi kwamba wengine kudai hata walio kando ya ziwa wana sifa ya pwani!