Watu wa Protocol tafadhalini mpeni training ya Public Speaking Mama Janet Magufuli

Tafadhali Mke wa Rais Mama Janet Magufuli apatiwe haraka sana mafunzo ya Public Speaking na Yeye mwenyewe pia ajitahidi kuondokana na hiyo aibu aliyonayo ambayo kiukweli na nafasi yake ya sasa aliyonayo hapashwi kuwa nayo.


Wamekusikia na upo njiani kupewa hilo jukumu
 
Mimi siamini mwalimu anaweza akakosa public speaking skills kwa kiasi hicho hasa ukichukulia kwamba amefanya kazi muda mrefu sana. Naamini tatizo linaanzia home, jamaa anapenda yeye peke yake ndo awe show stopper. Kwa busara na hekima za mama, anaweza akamfunika baba kirahisi. A good wife knows her place.
Ni kweli kabisa ulichokisema mkuu, yule mama ana mengi ya kusema lakini kwa hekima na busara zake kama mwanamke anishia kuugulia maumivu makali.

Na hii inaonekana katika furaha ya paji la uso wake pamoja na kujitahidi kutuonesha watanzania kuwa yuko na furaha lakini moyo unakataa.

Mungu amtie nguvu huyu mama amalize kipindi kigumu anachopitia.

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom