Watu wa mabondeni tunateseka, msaada tafadhali

Nendeni vijijini mkalime, mjini waacheni wenye uwezo waishi
 
Nyie mnatakiwa mjue sehemu yenu. Kwamba kisheria hamna haki ya kulalamika. Mkijikuta wajuaji mtaisoma namba vizuri zaidi. Cha muhimu ni kuomba muongezewe muda. Sio kulalamika kama ni haki yenu mnayo stahili. Maana hamkutakiwa kuwa mabondeni miaka 10 iliyopita. Kwani ni leo mnajua kuwa hamtakiwi kuwa mabondeni???? Nyie ombeni mkijua wazi kuwa hamna haki ya kulalamika.
 
Uza hyo smart4n,ongezea hela kidogo upate kodi ya miez 6,uhame na familia yako huku unajipanga cha kufanya kaka!!pole sana kaka ndo ukubwa huo!!
 
Hakuna jinsi,Hapa Kazi tu.Ni lazima mu gure na wala hakuna sababu ya kumkumbuka JK.Kama mbwai mbwai tu...nendeni mkapige kambi kwa Mbunge wenu wengine kwa diwani
 
Hakuna jinsi,Hapa Kazi tu.Ni lazima mu gure na wala hakuna sababu ya kumkumbuka JK.Kama mbwai mbwai tu...nendeni mkapige kambi kwa Mbunge wenu wengine kwa diwani
Asante mkuu ila ujue ipo siku na wew yatakukuta tu matatizo
 
Asante mkuu ila ujue ipo siku na wew yatakukuta tu matatizo
Maneno yako ni sahihi kabisa na ninakubaliana nayo.sasa tufanye nini tunusurike..????Inatubidi tuwe wakweli na tusiuze utu wetu kwa gharama ndogo.Elimu...Elimu....Elimu
 
Maneno yako ni sahihi kabisa na ninakubaliana nayo.sasa tufanye nini tunusurike..????Inatubidi tuwe wakweli na tusiuze utu wetu kwa gharama ndogo.Elimu...Elimu....Elimu
Haya bhana ipo siku utanielewa tu
 
Wakati mnajenga palikuwa tambalare?
 
Wakati mnajenga palikuwa tambalare?
Mkuu kama hujui ni bora ukauliza,hivi unajua kuna nyumba zingne hazipo kwenye mabonde na zinabomolewa? Ila sawa furahi mana hayajakupata wewe,ushuri kidogo tu,fanya kimfano ungepata wewe hili tatizo how could u feel?
 
Toa mfano wa eneo nyumba zinapomolewa kimakosa?
 
Amnesty international name human rights groups inabidi waingilie kati hili swala.
 
kwanza nyie hamjamchagua magufuli. ndio tabu zenu za kujitakia zimewafanya kuchukia ccm. watu wanaacha kilimo vijijini wanakuja mjini kuishi mabondeni maisha ya dhiki kuliko kilimo vijijini.
 
Toa mfano wa eneo nyumba zinapomolewa kimakosa?
Pita pale morroco hotel uone nyumba zingine zipo juu zinabomolewa,nenda suna kule uone pia,nenda hadi kigogo uone,yani kuna nyumba zipo juu ila zinabomolewa
 
Pita pale morroco hotel uone nyumba zingine zipo juu zinabomolewa,nenda suna kule uone pia,nenda hadi kigogo uone,yani kuna nyumba zipo juu ila zinabomolewa
Unafahamu wanatumia vigezo gani kuzibomoa? Uliza kwanza kuliko kulalamika hakuna serikali isiyowapenda wananchi wake ndo maana hata kujinyonga ni kosa fanya utafiti kwa nini hizo zinabomolewa ulete majibu kama wanaonewa pia usisite kusema kama ulivyo sema sasa kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…