Watu wa kawaida tunaweza kufika msibani Masaki kwa Mzee Lowassa kufariji familia

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
2,507
5,519
Habari,

Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,

Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu

Sijui protokali hapo ikoje?

Me ni mwananchi wa kipato cha kati
 
Habari

Nyinyi wananchi wanyonge wakawaida tutawapa utaratibu maalumu mpate japo masaa 2tu .Ahsante
 
ukipata nafas ya kwenda apo msibani beba cv za kutosha pia unaweza kubeba na business cards kadha wa kadha kama uchumi unaruhusu beba na roll-up banner hapo msibani kuna connections za kutosha unaweza kupata ajira deals za biashara pia unaweza kuchange career ukawa contractor assassin
 
Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati

Sent using Jamii Forums mobile app
we nafasi yako ni pale diamond jubilee kwa watu wa kawaida
 
Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati

Sent using Jamii Forums mobile app
Okoa nauli yako maana uwepo wako hauathiri chochote.
 
Habari
Nimefatilia naona wanaotia timu msibani nyumba kwa hayati Lowasa ni viongozi na wanasiasa wakubwa
Lowasa ni kati ya wanasiasa niliokubali falsafa zake, aliifanyia makubwa nchi yetu, mitihani alopitia kutenga na marafiki zake katika siasa ila bado aliamini falsafa zake hakurudi nyuma

2015 nikiwa UKAWa nilimpa kura yangu,
Sasa mimi sio maarufu ila natamani kufika japo kutoa rambi rambi zangu
Sijui protokali hapo ikoje?
Me ni mwananchi wa kipato cha kati

Sent using Jamii Forums

Kama sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom