KERO Watu wa Katavi tunahangaika, umeme hakuna

KERO Watu wa Katavi tunahangaika, umeme hakuna

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Licha ya kuwa na matangazo mengi ya wanasiasa kuwa bwawa la Nyerere limenza kazi lakini Suala la umeme mkoa wa katavi imekuwa changamoto kubwa Sana

Kila siku umeme lazima ukatike kila siku mafundi wako site unashindwa hata kufanya shughuli za kimaendeleo

Niliweka Mayai kama 100 hivi kwenye kitotoleshi lakin Sijaambua hata Kimoja sababu umeme hakuna.
 
Back
Top Bottom