Unahitaji msaada wa Ras Simba.You are too low minded moron...
Tatizo lenu hata shule mlikimbia.
Kwanza utambue kwa Tanzania hili ni tukio nadra sana, hata ujenzi.wetu.haukuzingatia.mambo ya matetemeko kwa kiasi kikubwa.
Lakini pia huwezi predict tetemeko, waliosoma seismology wanajua. Sanasana wanaweza kukuarifu kuwa eneo flani ni possible kwa tetemeko kutokana na mlalano wa.miamba gamba.
Sasa watu mnakuja na maneno ya utabiri hii sio solar system
Naona.mnawaza 2020, nani wa kuwapa nchi ninyi.hamuaminiki labda miaka.mia.ijayo tutawafikiria
alisaidia shule ya ihungo ikafungwa!Hivi ni misaada gani Mbowe alitoa alipoenda Kagera?
Hivi ni misaada gani Mbowe alitoa alipoenda Kagera?
spencer;
Hatuna haja ya 2020, mpaka ikifika huko sidhani hata ka tutaikuta tena. Endeleeni kujichumia taratiib. Hatujasema kuwa tulijua kuwa tetemeko litatokea, ila wekeni kitengo cha maafa. Kiwe kweli kitengo chenye akili. Maafa si matetemeko tu, maafa ni janga lolote litakalo tokea ghafla na kuwaathiri wengi. Vipo vimbunga, upepo mkali, mvua na hata moto. Hayo ndiyo majanga sio tetemeko tu. Serekali yako itakayo tawala miaka 100 inayajua hayo majanga kuwa yaweza tokea? Je, imejiandaaje?? Tusilete mambo ya kuongoza/kutawala miaka 100 bali je unapo tutawala, unajua pia kutusaidia tukipatwa na majanga? Hicho tuuu spencer naomba uwaambie wakuu wako.
Tetty;Kitengo cha Maafa kipo lakini kimetengewa Bajeti Hewa
Tetty;
Ndo maana nikamwambia spencer kuwa hatuhitaji malumbano ya nnani bingwa 2020 tunajua watatawala kwa miaka 100 lakini awaambie watawala hao kuwa watulinde na maafa kwa kutuwekea kitengo cha kiukweli cha maafa sio kitengo hewa.
Tunachohitaji ni KIONGOZI na SI MTAWALA.Tunahitaji Rafiki ambaye atatuunganisha watanzania bila kujali Itikadi zetu,dini au Makabila yetu.Hatuhitaji Kiongozi ambao watoto wake watajinadi kwa niaba ya baba kabiola hili katu haliwezi kutoa RAIS,maana huyo ni mbaguzi.
Tunahitaji Kiongozi atakayetembea na KATIBA ya Nchi pamoja na Bibilia yake au MSAHAFU wake popote aendapo.Tunahitaji Kiongozi atakayetupa UHURU wa kutoa mawazo,kumkosoa pale akoseapo,kumwajibisha.
Tunahitaji Kiongozi atakjayethamini watu wake kwa kuliweka Bunge kuwa HURU na HURU kweli bila kututeulia NAIBU SPIKA wa kuliongoza BUNGE kama taasisi ndani ya Chama tawala.
Tunahitaji Kiongozi ambaye TAIFA lake litakuwa mbele na chama chake nyuma.
Tetty;
Usinitie majaribuni, lakini niokoe na yule mtesi kwa kuwa sina million 7, na watoto wangu bado wanasoma na ni jana tu mke kaniambia siku zake hazioni kwani tulipewa ruksa kuwafyatua. Waiiiii, ngastuka.