BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
hizi coment warushie ndugu zaki bush waamke, wao ndio mtaji wa CCMHana muda huo,yule mama anakula mijihela tu
Sasa akae mjengoni kugonga meza,kuomba pedi za wanawake
Bllshyt
Ova
hizi coment warushie ndugu zaki bush waamke, wao ndio mtaji wa CCMHana muda huo,yule mama anakula mijihela tu
Sasa akae mjengoni kugonga meza,kuomba pedi za wanawake
Bllshyt
Ova
Daaah🤣🤣Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?View attachment 3384539