Sijui kwanini mama Mkapa hagombeagi Ubunge? 🐼Hatari sana.Ameona ni mazuzu wanaotafuta utajiri wa uchawi wa "Nsumbiji"!
Hakunaga mchaga mjinga.Sijui kwanini mama Mkapa hagombeagi Ubunge? 🐼
Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?View attachment 3384539
Huoni hata wenzake wameshituka kwenye hiyo picha?Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?
Hana muda huo,yule mama anakula mijihela tuSijui kwanini mama Mkapa hagombeagi Ubunge? 🐼
Sasa ndio kaongea nini 😂🤣
Wewe jimboni kwako vipi?Nimeona Mbunge wa jimbo la Mchinga, Mama Salma Kikwete akisema kuwa wana Mchinga wamempa kibali cha maisha cha kuwa Mbunge wao.
Maendeleo huko Mchinga yapoje, mpaka wampe kibali kizito hivyo?View attachment 3384539
Huu ushauri wape wazazi wako kule kikini waamke, hu hakuna alie lalaMume,mama,mtoto wanaishi wa kodi zetu .
Baba - marupurupu ya ustaafu na masalia ya Escrow
Mama - fungu la mwenza wa rais
Mtoto - mafao ya ubunge na uwaziri.
Nchi ya kisultani