Black nyeti
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 673
- 1,089
Watu mumepotea kabisa hamuonekani au tatizo bando??????
Wee acha tuNilitamani nisiingie humu kabisa jf sioni kitu cha kunifanya niwe obssess kuingia humu kama zamani miaka 14 iliyopita
Nyie si munapenda x yani pono sas humu hakuna ndo mana zikimbilia hukoNilitamani nisiingie humu kabisa jf sioni kitu cha kunifanya niwe obssess kuingia humu kama zamani miaka 14 iliyopita
😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎Uzi kama huu ukianzishwa na mtu ambaye ana expert member inasikitisha sana
Stress mkuu. Maisha ni magumu sanaUzi kama huu ukianzishwa na mtu ambaye ana expert member inasikitisha sana
Tunajua hushindwi kuanzisha uzi kama huo mkuuKwahyo unataka nianzishe uzi wa kutomban*?????
Naanzisha na wewe ndio utakuwa kama space men yani wa mfano au majaribio 😁😁😁😁😁Tunajua hushindwi kuanzisha uzi kama huo mkuu
Unamaanisha mimi ni baltazar sio?Naanzisha na wewe ndio utakuwa kama space men yani wa mfano au majaribio 😁😁😁😁😁