Watu wa Dar tutafutane jamani

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,119
Niko Dar, wale wa Dar tutafutaneni jamani
 
umefaulu form 4 kwanza????????????
 
au wewe ndio zombi ulioasahau kuvaa viatu? karibu niko buguruni nimeleta pilipili...
 
Tuko kwenye majonzi subiri kidogo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Umebaini ni kwanini umepata hicho kiduara?
Ni kwasababu msimamizi wakati wa paper alikuwa mrembo kweli halafu kila mara alikuwa anakaa vibaya (Sijui ilikuwa makusudi au bahati mbaya) lakini kwasababu macho hayana pazia mi nikawa naona na akili yangu inaruka kabisa. Hiyo ndiyo sababu pekee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…