Watu wa Dar bwana, you worry about everything!

Hapana sina mamluki ndugu mgonjwa

Jr
Bwana mganga Nimeshindwa kutumia jina lao official ambalo wewe unalijua kwasababu nimelisahau

Nazungumzia hao mabeki tatu wanaokupa majibu baada ya kupiga ramli
 
Kumbe unakaa kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni kigoma mjini? Aiseee ndo maana waha wamejazana huku mjini wanatupandishia bei ya sukari.
Acha dharau...utakuta hapo dar ni wakuja,usijaribu kudharau,watu Wa kigoma wameijenga hiyo dar yenu...Leo hii mnajifanya wazawa kuliko wazaramo.
 
Ukiwa huku kuna namna unalainika automatically walaqhi', eti na mimi wa kaskazini naona haka kabaridi leo kako serious, sijui ndiyo nishaambukizwa 'udaslam' maskiini..
Adaption ya mazingira tu,ndo maana anayetoka iringa akija Dar anateseka na joto,au anayetoka Moscow Russia akifika njombe kwenye hicho kinachoitwa baridi anatembea kifua wazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kweli kigoma si pakuvaa nguo nyeupe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Trafki Wa kigoma wanavaa nguo za bluu?
Fika kwanza halafu ndio useme,usipende kuamini maneno ya kusikia au kuambiwa.
 
Aisee kweli kigoma si pakuvaa nguo nyeupe

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Trafki Wa kigoma wanavaa nguo za bluu?
Fika kwanza halafu ndio useme,usipende kuamini maneno ya kusikia au kuambiwa.
 
Ndo hayo hayo yanakatwa vipande maana ukiwa mzima wanashindwa kuumaliza hahahaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha wanashindwa kumaliza au yakikatwa vipande ndo bei inakuwa himilivu kwao. Huku sasa tunavuna mnaweza chemsha hata mahindi 30 alafu mnakuta mko watu sita tu na sufuria la mahindi linakwisha mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…