Watu wa Cyrptobcurrency kindly pita hapa

Lenin23

Senior Member
Feb 9, 2022
155
239
Hello,

Nmepata changamoto kidogo katika transferring ya money and the only option I'm left with ni kutumia crypto system, bad though am not good at using it

Any recommendations, procedures and safe wallet naweza tumia na kuipata feza yangu in TZs through crypto system will be appreciated.

Nawasilisha
 
usipoisema hiyo changamoto mpk ukafikia option ya cryptocurrency itakuwa mbaya zaidi!, nafikiri iseme then kama kuna utatuzi wakusaidie watu tunazidiana maarifa ujue.
 
hivi ile localbitcoin ilifungiwa..??
na makato yake vipi hiyo BNB..?
Kuhasu localbitcoin sijajua maana binafsi nipo napambana na hizi Mining network mpya kama Ice, Pi, Gooddollar na Buffalo...

Kuhusu makato sikumbuki maana me nilikuwa miner wa kawaida tuu kwa hiyo niliwaza kupata pesa tuu makato hata sikufuatilia maana hakuna gharama niliyoingia kuchimba hizo coin...
 
usipoisema hiyo changamoto mpk ukafikia option ya cryptocurrency itakuwa mbaya zaidi!, nafikiri iseme then kama kuna utatuzi wakusaidie watu tunazidiana maarifa ujue.
Kuna brokerage system ya us imenigomea kutoa through any method but only through crypto currency
 
Kuhasu localbitcoin sijajua maana binafsi nipo napambana na hizi Mining network mpya kama Ice, Pi, Gooddollar na Buffalo...

Kuhusu makato sikumbuki maana me nilikuwa miner wa kawaida tuu kwa hiyo niliwaza kupata pesa tuu makato hata sikufuatilia maana hakuna gharama niliyoingia kuchimba hizo coin...
So you strongly recommend bnb right, you referring to binance right
 
So you strongly recommend bnb right, you referring to binance right
Yes yes... Kutoa hela kule ni uhakika.. kwa sababu wakala anakutumia hela kwanza ikiingia tuu wewe unathibitisha... Uzuri wameweka na namba unaweza kuwapigia mkaongea kabla.... Kuna wakala mmoja nilikuwa recommended kwake ngoja nitafute jina nitakuludia...
Screenshot_20240523-174924.png
 
Mkuu binance ndio Kila kitu kama unashindwa kutuma au kutoa pesa njoo inbox ...

Kama Hauna verified account ya binance pia na hauwezi kutengeneza saizi njoo inbox

Hapa unaweza kupata pesa kutoka taifa lolote unalojua hapa Duniani na mbinguni ...
 
Kumbe ukiachana na kushabikia 115 charges haya maswala unayaelewa kongole mkuu😃
 
Fungua binance account hakikisha unafanya verification and then ufanye transfer kuingia kwenye binance (hapa utatoa wallet address ya kupokelea crypto zako), baada ya hapo withdraw kwa P2P na utapokea pesa kwa Mpesa/TigoPesa/Airtelmoney au Bank
 
Back
Top Bottom