stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,605
- 5,507
mjumbe na baraza lake lipo Kwa ajili ya WATU, kwa nini mjumbe asiwasikilize WATU?.Barabara zinazojengwa ni Kwa ajili ya WATU, Madawa ya kulevya mnayopigana nayo ni kwa Ajili ya WATU. Hakuna Jambo lenye manufaa ya muda mrefu kwa WATU wa taifa hili litakalofikiwa kama tutaendelea kuwa na viongozi wa namna hii kadri zimwi hili linavoachwa, vizazi vijavyo havitaweza kulizuia.
Leo kituo cha Habari kimetishwa kwa mitutu ya Bunduki, kesho WATU wanaotafautiana kimazo na bwana huyu watauwawa kwa mitutu ya Bunduki. Na Keshokutwa tutagundua Makaburi ya Umma ya WATU.
mjumbe nguvu zake ni Majeshi anayoweza kuyaamuru, na ndio hofu ya WATU na Hao WATU WAJESHI, hatuna tofauti ya kimwili ama kiroho. WATU WA JESHI Baba zenu ni WATU, wakumbukeni kipindi hiki cha shida zilizoletwa na Ukame, na maamuzi ya mjumbe mnayemwamini. Mpeni ushauri labda atawasikia, akigoma Waacheni Baba zenu na wadogo zenu wafanye maamuzi sahihi juu ya mjumbe, ikiwa ngumu tembeleni.
Rejea Korea Kusini, na Misri.
Mwenye Waraka wa Ukuta apost