exalioth
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 2,376
- 4,093
Ni Katika Kata Ya Ilolangulu Wilaya Ya mbogwe ambampo basikeli zilikua zmepakiwa nnje ya baa mida ya saa mbili usiku ambapo hata basikeli nyingine tatu zilikuepo nnje
Wamiliki wa baskeli hizo wakiwa wanatumia vinywaji baada ya kutoka basikeli mbili zote hawakuzikuta
Watu sio wema
Wamiliki wa baskeli hizo wakiwa wanatumia vinywaji baada ya kutoka basikeli mbili zote hawakuzikuta
Watu sio wema