Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,896
- 27,021
Sasa wanauchungu gani na kitu cha kupewa bure?Ni Katika Kata Ya Ilolangulu Wilaya Ya mbogwe ambampa basikeli zilikua zmepakiwa nnje ya baa mida ya saa mbili usiku ambapo hata basikeli nyingine tatu zilikuepo nnje
Wamiliki wa baskeli hizo wakiwa wanatumia vinywaji baada ya kutoka basikeli mbili zote hawakuzikuta
Watu sio wema