Mlimani City ukiingia unakutana na maisha mengine kabisa,Ngoja waje. Pia wale wanaume wanaokula lol pop vipi?
Yaan mkuu kama haujawahi kuingia Mlimani City siku ukiingia utajiona kama upo China vile
Class nimeitumia kama aina ya watu wanaofanana au kufanya jambo moja..mfano class seven kwa shule..niko tayari kurekebishwa kama nimekosea kutumia hilo neno ..Kwani kuishi nje ya nchi, kwenda nje ya nchi, na kwenda China na India kufunga mzigo ndo kuwa na ‘class’?
Class nimeitumia kama aina ya watu wanaofanana au kufanya jambo moja..mfano class seven kwa shule..niko tayari kurekebishwa kama nimekosea kutumia hilo neno ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay nimekuelewa mkuu..Okay, nimekuelewa ingawa mimi ningetumia neno ‘status’ badala ya class.
Hakuna ubaya lakini.