Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,912
Ni juzi. Waandamanaji wakimpinga Trump.
Mleta mada anaweza kutuambia.maana yake nini kwa kiswahili!??
Sijui tafsiri yake kwa Kiswahili....ha ha ha...Mleta mada anaweza kutuambia.
Mkuu umeanzisha ngoma kumbe kucheza huwezi?Sijui tafsiri yake kwa Kiswahili....ha ha ha...
Tena atumie kipaza sautiMleta mada anaweza kutuambia.
Kwa hiyo f**k you maana yake nenda zako huko?sio raisi wangu - nenda zako huko !
Hilo sio tusi ni kiunganishi tuu
Wewe unafaham ila unataka jambomaana yake nini kwa kiswahili!??
Don't you dare try this at home.