Watu na "Mademokrasia" Yao!

Watu na "Mademokrasia" Yao!

Hujui uchaguzi was USA Ulivyo kura za wananchi Clinton kamzidi trump 3M
Najua ulivyokuwa Mkuu. Swali ni kuwa Trump alishinda au hakushinda? Je unajua criteria wanazotumia kumpata mshindi? Au unalalamika tu kwakuwa CNN na BBC wanasema hivyo? Ni sawa na mpira mshindi anapatikana kwa idadi ya magoli na sio idadi ya chenga, au idadi ya mashabiki waliohudhuria.
 
Ishu yangu hapa wewe kuwalaumu waandamanaji wakakati waandamanaji walimchagua wamtakaye
 
Back
Top Bottom