[emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji115]Hawa angalau inaonekana wameagiza chakula hiki hotelini. Kama ni pesa yao halali wameihenyea sina tatizo nao. Yule mama yuko kwenye function na anajua kuna wenzake nyuma waja still kaamua kujisiliba.
[emoji15] [emoji15]
Maneno makali sana haya!!Wachagga ni waroho/walafi wa chakula ajabu! Ona huyo mama hadi wenzie wanashangaa.
Nani kakwambia ni mchaga?Wachagga ni waroho/walafi wa chakula ajabu! Ona huyo mama hadi wenzie wanashangaa.
Umejuaje kua mimi sio mchagga ndugu?Nani kakwambia ni mchaga?
Je ukijua ni wa kwenu utafanyaje?
Acha chuki kwa wachaga mkuu!!
Unanitafutia lawama wewe.Maneno makali sana haya!!
NDO MAANA WADADA WENGI WANAENDAGA NA HANDBAG KWENYE SHEREHE ILI WABEBE VYAKULA......hapa kuna jambo la kujifunza kubwa tu zaid ya huyo dada!...huyu dada amepata nafasi nzuri ya kuchukuwa atakacho na kula japo sina iman km atamaliza chote hakufikiri wapo wengine nyuma yaje!!...Hii ni sawa na viongoz tulionao africa,wakipata nafasi ya kuongoza basi tena hujichukulia wakitakacho bila kufikiri walio nyuma yao!too bad