Watu na appetite zao

Ona dada huyo upande wa kushoto kwake (kulia kwako msomaji) yaani kabaki anashangaa
 
Alikuwa wa mwisho? Aliwafikiria wanaokuja nyumba yake?
 
Wachagga ni waroho/walafi wa chakula ajabu! Ona huyo mama hadi wenzie wanashangaa.
 
Alikuwa wa mwisho? Aliwafikiria wanaokuja nyumba yake?
hapa kuna jambo la kujifunza kubwa tu zaid ya huyo dada!...huyu dada amepata nafasi nzuri ya kuchukuwa atakacho na kula japo sina iman km atamaliza chote hakufikiri wapo wengine nyuma yaje!!...Hii ni sawa na viongoz tulionao africa,wakipata nafasi ya kuongoza basi tena hujichukulia wakitakacho bila kufikiri walio nyuma yao!too bad
 
Mkuu you nailed it, that's being selfish.
 
Picha hii inawakilisha vizuri ulafi wa binadamu, unafiki na ubinafsi wake. Imagine fisadi moja linakwapua dola milioni tatu halafu linasema eti vijisenti. Wala halijiulizi kuwa dola mil.3 hii ingeweza kuchimba visiwa vingapi, kununua dawa kiasi gani na...Aaaargh! Binadamu siye yaani tu wanyama wa ajabu sana !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…