Watu na afya zao

huyo wa kulia anafanana na yule mzee alisemaga BMK atakimbilia msituni sema jina lake limenitoka
 
huyo wa kulia anafanana na yule mzee alisemaga BMK atakimbilia msituni sema jina lake limenitoka
haha, anaitwa tieni,tieni, kwa moyo mmoja, sema ubini wake umenitoka.
m
 
Nina uhakika hao majamaa wana miaka mingi hawajawahi kuviona vitendea kazi vya live zaidi ya recorded....
 
huyo wa kulia anafanana na yule mzee alisemaga BMK atakimbilia msituni sema jina lake limenitoka

Ila wanafanana sana inaonekana ni ukoo mmoja na komba huyo
 
Bila shaka mmoja kati yao mke wake aliwahi kuwa mchepuko wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…