Preta, ina maana bado hujaelewa nini mbaya? hebu anza kuniambia unanipenda.jamani imekuwa hivyo tena....?..kwani nini mbaya.....?
Yani mnapenda kupendwa tu na wenza wenu!!, nyie kupenda aah!!, unasubiria mwenzako tu aseme anakupenda!!. roho mbaya!!.
Kwani inakuchukua gharama gani kumwambia mwenzako unampenda!!.
taaanzaniaaaaaa tanzaniaaaaaa
nakupena kwa moyo woteeeee
Yani mnapenda kupendwa tu na wenza wenu!!, nyie kupenda aah!!, unasubiria mwenzako tu aseme anakupenda!!. roho mbaya!!.
Kwani inakuchukua gharama gani kumwambia mwenzako unampenda!!.
@Preta mambo?? upo??jamani imekuwa hivyo tena....?..kwani nini mbaya.....?
Hongera kwa kuipenda Tz!
Bt kumbuka hata uipendeje! Haitakupa ile bidhaa ya kupeleka kliniki, Ubuyu na Ukwaju hautakuhusu!
Preta, ina maana bado hujaelewa nini mbaya? hebu anza kuniambia unanipenda.
Hutaki sasa dena, hata wewe ndivyo ulivyo!.
@Preta mambo?? upo??