Watu milioni 50 duniani wana matatizo ya uzazi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Takriban watu milioni 50 duniani wana matatizo ya uzazi. Katika tamaduni nyingi wanawake hubeba lawama mara baada ya mahusiano kushindwa kuleta watoto

Msukumo huu katika jamii husababisha wanawake kutengwa, waume zao kuoa wake wengine na hata ndoa kuvunjika. Wanawake wasio na watoto huonekana kama mzigo

Ugumba/ Matatizo ya uzazi yanatajwa kuwa sababu kubwa ya kwanza ya mahusiano kuvunjika, usaliti ukiwa ni sababu inayofuatia

Chanzo: BBC swahili
 
Back
Top Bottom