Watu makini

Watu makini

WANGAMBA

Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
65
Reaction score
109
Nahitaji marafiki wenye uwezo mkubwa wa kifkira na maono ya mbali kuhusu maisha kiujumla tuweze kupeana nondo
 
Una michepuko mingapi?

Kama hauna hata mmoja wewe siyo mtu makini..

Kama una 1 basi gear up, unakujakuja.

Kama unao 2 basi angalau tunaweza kukusajili kwenye jukwaa la umakini..

Kama unao 3 basi tayari una uhakika wa namba..

Kama unao 4 na kuendelea basi wewe ni Legend wa Umakini, yani wewe ni Ronaldo au Messi unajichagulia timu ya kwenda tuu..
 
Nakazia[emoji41]
 
Ww uko Malini?.

Wadogo zako au watu wako wakaribu wanaona hivyo?..

Maana huwez ambatana na watu Makin wakat ww sio makini.
 
Una michepuko mingapi?

Kama hauna hata mmoja wewe siyo mtu makini..

Kama una 1 basi gear up, unakujakuja.

Kama unao 2 basi angalau tunaweza kukusajili kwenye jukwaa la umakini..

Kama unao 3 basi tayari una uhakika wa namba..

Kama unao 4 na kuendelea basi wewe ni Legend wa Umakini, yani wewe ni Ronaldo au Messi unajichagulia timu ya kwenda tuu..
Michepuko na utafutaji vinamahusiano gan
 
Back
Top Bottom