GE2025 Watu maarufu walioachwa katika kinyang'anyiro cha Ubunge CCM 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
836
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28.

Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Amos Makalla, ambapo baadhi ya majina maarufu yaliyotarajiwa kurejea hayakuorodheshwa, jambo lililozua mijadala mikubwa miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla.

Miongoni mwa waliokosa kurejea ni kigogo wa siasa na aliyewahi kuwa mgombea urais mwaka 2015, Januari Makamba, jina lake halikurudi katika Jimbo la Bumbuli.

Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato jina lake halikurudi.

Waziri wa zamani wa ardhi, Anjelina Mabula jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa zamani wa Michezo, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Pauline Gekul- Babati mjini, na wabunge maarufu Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro, Seif Gulamali wa jimbo la Manonga, pia majina yao yameondolewa.

Katika Jimbo la Arusha Mjini, aliyekuwa mbunge, Mrisho Gambo naye ametemwa, huku Ole Sabaya, Mkuu wa zamani wa Wilaya ya Hai, jina lake likiondolewa kwenye Jimbo la Arumeru Magharibi.

Waziri Mkuu wa sasa, Kassim Majaliwa, alitangaza mwenyewe kuwa hatawania tena ubunge katika Jimbo la Ruangwa

Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye alikuwa akitazamiwa kugombea Jimbo la Kigamboni, jina lake halikurudi na badala yake watu sita wamepitishwa kuwania nafasi hiyo. Majina hayo ni Ponela Mtei, Habib Mchange, Allan Sanga, Ally Mandai, Francis Elias, na Henjelewe.

Aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajina, naye hayupo katika orodha ya wagombea, licha ya kuwa mmoja wa wana-CCM waliokuwa wakikosoa serikali kwa sauti kubwa, hususan kuhusu masuala ya kutekwa kwa wananchi. Gwajima hakuchukua fomu kabisa mwaka huu.

Katika Jimbo la Kisesa, Simiyu, kama ilivyotarajiwa na wengi, aliyekuwa mbunge Luhaga Mpina ameondolewa, huku majina saba yakipitishwa kugombea nafasi hiyo. Mpina aliwahi kutajwa na Rais Samia Suluhu Hassan kama "mbunge wa taifa" kutokana na namna alivyokuwa akieleza matatizo ya wananchi kwa ukosoaji wa aina yake hadharani. Hatua ya kutomrejesha imeibua tafsiri tofauti kuhusu mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu huu.

Majina maarufu yaliyorudi​

Hata hivyo, baadhi ya majina makubwa yamerudi wakiwemo wanamichezo na wanahabari. Jerry Muro, mwanahabari, msemaji wa zamani wa Yanga na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, amepitishwa kugombea Jimbo la Hai.

Mtangazaji maarufu wa michezo, Shaffih Dauda, jina lake limepita katika Jimbo la Temeke, na Jemedari Said ametajwa kugombea Jimbo la Mtama.

Hashim Ibwe atapeperusha bendera ya CCM katika Jimbo la Mwanga, Mtangazaji wa zamani wa BBC, Salim Kikeke, amepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Vijijini.

Katika Jimbo la Kigoma Mjini, Baruhani Muhuza na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, wamepitishwa kuwania nafasi hiyo.

Mkuu wa mkoa wa zamani mweye 'vituko', Agrey Mwanri amerejea tena kupitia Jimbo la Siha.

Familia ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeendelea kuwa na ushawishi ndani ya CCM.

Mke wake, Salma Kikwete, amekuwa mgombea pekee katika Jimbo la Mchinga, Lindi, huku mtoto wao, Ridhiwani Kikwete, akipitishwa peke yake Jimbo la Chalinze.

Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko, naye hakuwa na mpinzani katika Jimbo la Bukombe.

Katika visiwa vya Zanzibar, Hemed Abdulla ametajwa kama mgombea pekee Jimbo la Kiwani, huku Jimbo la Ole likiwa na majina mawili yaliyopitishwa – Ali Salim Ali na Amour Kassim.

Majina mengine yaliyovuta hisia ni la Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, na Deo Sanga waliopitishwa kuchukua fomu Jimbo la Makambako, ambapo Sanga anatetea nafasi yake. Wilson Mahera, aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, amepitishwa kugombea Jimbo la Butiama. William Vangimembe Lukuvi, mmoja wa wanasiasa wakongwe zaidi wa CCM, amerudishwa kugombea Jimbo la Isimani kwa mara ya saba mfululizo.

Lukuvi ana rekodi ya kuwa bungeni kwa miaka 30 sasa.
Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya waliokuwa wabunge wa CHADEMA na waliorejea CCM, nao wamepita katika mchujo wa chama hicho. Jesca Kiishoa, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, ameteuliwa kugombea Jimbo la Iramba Mashariki.

Ester Bulaya, mmoja wa wanasiasa waliokuwa maarufu CHADEMA, ametajwa miongoni mwa majina matano yaliyopitishwa kugombea Jimbo la Bunda Mjini.

Viongozi wengine waliokuwa upinzani ni pamoja na Peter Msigwa, ambaye sasa jina lake limepita Jimbo la Iringa Mjini, na Ester Matiko aliyefukuzwa CHADEMA, sasa amepitishwa kugombea Jimbo la Tarime Mjini.

Mchakato wa uteuzi wa CCM mwaka huu umeonyesha mwelekeo mpya wa kisiasa ndani ya chama hicho tawala.

Wakati baadhi ya sura kongwe zikitemwa, wanasiasa wapya na wale waliorejea kutoka upinzani wamepewa nafasi, hali inayoweza kubadili ramani ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Mchakato wa kupata jina moja kila jimbo utafanyika mwezi ujao
 
Miongoni mwa waliokosa kurejea ni kigogo wa siasa na aliyewahi kuwa mgombea urais mwaka 2015, Januari Makamba, jina lake halikurudi katika Jimbo la Bumbuli. Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato jina lake halikurudi.

Katika Jimbo la Arusha Mjini, aliyekuwa mbunge, Mrisho Gambo naye ametemwa, huku Ole Sabaya, Mkuu wa zamani wa Wilaya ya Hai, jina lake likiondolewa kwenye Jimbo la Arumeru Magharibi. Waziri Mkuu wa sasa, Kassim Majaliwa, alitangaza mwenyewe kuwa hatawania tena ubunge katika Jimbo la Ruangwa

Aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajina, naye hayupo katika orodha ya wagombea, licha ya kuwa mmoja wa wana-CCM waliokuwa wakikosoa serikali kwa sauti kubwa, hususan kuhusu masuala ya kutekwa kwa wananchi. Gwajina hakuchukua fomu kabisa mwaka huu.

Hata hivyo, baadhi ya majina makubwa yamerudi wakiwemo wanamichezo na wanahabari. Jerry Muro, mwanahabari, msemaji wa zamani wa Yanga na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, amepitishwa kugombea Jimbo la Hai. Mtangazaji maarufu wa michezo, Shaffih Dauda, jina lake limepita katika Jimbo la Temeke, na Jemedari Said ametajwa kugombea Jimbo la Mtama.
Hashim Ibwe atapeperusha bendera ya CCM katika Jimbo la Mwanga, Mtangazaji wa zamani wa BBC, Salim Kikeke, amepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Vijijini. Katika Jimbo la Kigoma Mjini, Baruhani Muhuza na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, wamepitishwa kuwania nafasi hiyo.

Familia ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeendelea kuwa na ushawishi ndani ya CCM. Mke wake, Salma Kikwete, amekuwa mgombea pekee katika Jimbo la Mchinga, Lindi, huku mtoto wao, Ridhiwani Kikwete, akipitishwa peke yake Jimbo la Chalinze.
Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko, naye hakuwa na mpinzani katika Jimbo la Bukombe. Katika visiwa vya Zanzibar, Hemed Abdulla ametajwa kama mgombea pekee Jimbo la Kiwani, huku Jimbo la Ole likiwa na majina mawili yaliyopitishwa – Ali Salim Ali na Amour Kassim.
Majina mengine yaliyovuta hisia ni la Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, na Deo Sanga waliopitishwa kuchukua fomu Jimbo la Makambako, ambapo Sanga anatetea nafasi yake. Wilson Mahera, aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, amepitishwa kugombea Jimbo la Butiama. William Vangimembe Lukuvi, mmoja wa wanasiasa wakongwe zaidi wa CCM, amerudishwa kugombea Jimbo la Isimani kwa mara ya saba mfululizo. Lukuvi ana rekodi ya kuwa bungeni kwa miaka 30 sasa.
Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya waliokuwa wabunge wa CHADEMA na waliorejea CCM, nao wamepita katika mchujo wa chama hicho. Jesca Kiishoa, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, ameteuliwa kugombea Jimbo la Iramba Mashariki. Ester Bulaya, mmoja wa wanasiasa waliokuwa maarufu CHADEMA, ametajwa miongoni mwa majina matano yaliyopitishwa kugombea Jimbo la Bunda Mjini. Viongozi wengine waliokuwa upinzani ni pamoja na Peter Msigwa, ambaye sasa jina lake limepita Jimbo la Iringa Mjini, na Ester Matiko aliyefukuzwa CHADEMA, sasa amepitishwa kugombea Jimbo la Tarime Mjini.
Mchakato wa uteuzi wa CCM mwaka huu umeonyesha mwelekeo mpya wa kisiasa ndani ya chama hicho tawala. Wakati baadhi ya sura kongwe zikitemwa, wanasiasa wapya na wale waliorejea kutoka upinzani wamepewa nafasi, hali inayoweza kubadili ramani ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Mchakato wa kupata jina moja kila jimbo utafanyika mwezi ujao
Punctuate your passage
 
Yule Fala wa yanga amepigwa chini kigamboni
IMG-20250729-WA0088.jpg
 
Nape????
 
Mpangilio mbaya
 
Hivi uraia pacha unaruhisiwa kikeke si aliukana uraia wa Tanzania ?
 
Ole Sendeka ameliwa kichwa? Probably maswala ya Ngorongoro.

Engineer Hersi nadhani kakatwa na wana Yanga kwa kitendo cha kujisajiri ubunge huku akiwa anatakiwa kuiongoza Yanga.

Makamba na Byabato ni ndege wawili waliteuliwa kwa pammoja kuingoza wizara ya Nishati awamu ya Mama Samia japo Byabato alikuwa humo humo,mara wakahamishiwa wizara ya Mambo ya nchi za nje,wakafukuzwa wote kazi siku mmoja na sasa wameenguliwa wote kwa pammoja kwenye mchujo wa chama.

Makonda kapewa soft target baada ya kuodolewa mbabe mwenzie Mrisho Gamba.

Jerry Siraha katika hatua ya kuvizia uwaziri.

Ester Matiko na Ester Bulaya kama wanavyojipambanua wanakubalika kokote katika medani ya siasa za Bongo.

Mkongwe Lukuvi yeye ni reference "saikolopidia"ya bunge la Tanzania kaachwa kwa hilo.

Wale wasanii wawili wa Kigoma wataigizwa bungeni kama wachekeshaji kupunguza stress kwa wabunge makini.
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kufuatia vikao vya juu vya chama hicho, ikiwemo Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), vilivyoketi hadi usiku wa manane Julai 28.

Orodha hiyo ilisomwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Amos Makalla, ambapo baadhi ya majina maarufu yaliyotarajiwa kurejea hayakuorodheshwa, jambo lililozua mijadala mikubwa miongoni mwa wanachama na wananchi kwa ujumla.

Miongoni mwa waliokosa kurejea ni kigogo wa siasa na aliyewahi kuwa mgombea urais mwaka 2015, Januari Makamba, jina lake halikurudi katika Jimbo la Bumbuli.

Aliyekuwa Mbunge wa Bukoba Mjini na Naibu Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato jina lake halikurudi.

Waziri wa zamani wa ardhi, Anjelina Mabula jimbo la Ilemela, Naibu Waziri wa zamani wa Michezo, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Pauline Gekul- Babati mjini, na wabunge maarufu Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro, Seif Gulamali wa jimbo la Manonga, pia majina yao yameondolewa.

Katika Jimbo la Arusha Mjini, aliyekuwa mbunge, Mrisho Gambo naye ametemwa, huku Ole Sabaya, Mkuu wa zamani wa Wilaya ya Hai, jina lake likiondolewa kwenye Jimbo la Arumeru Magharibi.

Waziri Mkuu wa sasa, Kassim Majaliwa, alitangaza mwenyewe kuwa hatawania tena ubunge katika Jimbo la Ruangwa

Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye alikuwa akitazamiwa kugombea Jimbo la Kigamboni, jina lake halikurudi na badala yake watu sita wamepitishwa kuwania nafasi hiyo. Majina hayo ni Ponela Mtei, Habib Mchange, Allan Sanga, Ally Mandai, Francis Elias, na Henjelewe.

Aliyekuwa Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajina, naye hayupo katika orodha ya wagombea, licha ya kuwa mmoja wa wana-CCM waliokuwa wakikosoa serikali kwa sauti kubwa, hususan kuhusu masuala ya kutekwa kwa wananchi. Gwajima hakuchukua fomu kabisa mwaka huu.

Katika Jimbo la Kisesa, Simiyu, kama ilivyotarajiwa na wengi, aliyekuwa mbunge Luhaga Mpina ameondolewa, huku majina saba yakipitishwa kugombea nafasi hiyo. Mpina aliwahi kutajwa na Rais Samia Suluhu Hassan kama "mbunge wa taifa" kutokana na namna alivyokuwa akieleza matatizo ya wananchi kwa ukosoaji wa aina yake hadharani. Hatua ya kutomrejesha imeibua tafsiri tofauti kuhusu mwelekeo wa chama kuelekea uchaguzi mkuu huu.

Majina maarufu yaliyorudi​

Hata hivyo, baadhi ya majina makubwa yamerudi wakiwemo wanamichezo na wanahabari. Jerry Muro, mwanahabari, msemaji wa zamani wa Yanga na aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya, amepitishwa kugombea Jimbo la Hai.

Mtangazaji maarufu wa michezo, Shaffih Dauda, jina lake limepita katika Jimbo la Temeke, na Jemedari Said ametajwa kugombea Jimbo la Mtama.

Hashim Ibwe atapeperusha bendera ya CCM katika Jimbo la Mwanga, Mtangazaji wa zamani wa BBC, Salim Kikeke, amepitishwa kugombea Jimbo la Moshi Vijijini.

Katika Jimbo la Kigoma Mjini, Baruhani Muhuza na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, wamepitishwa kuwania nafasi hiyo.

Mkuu wa mkoa wa zamani mweye 'vituko', Agrey Mwanri amerejea tena kupitia Jimbo la Siha.

Familia ya Rais mstaafu Jakaya Kikwete imeendelea kuwa na ushawishi ndani ya CCM.

Mke wake, Salma Kikwete, amekuwa mgombea pekee katika Jimbo la Mchinga, Lindi, huku mtoto wao, Ridhiwani Kikwete, akipitishwa peke yake Jimbo la Chalinze.

Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko, naye hakuwa na mpinzani katika Jimbo la Bukombe.

Katika visiwa vya Zanzibar, Hemed Abdulla ametajwa kama mgombea pekee Jimbo la Kiwani, huku Jimbo la Ole likiwa na majina mawili yaliyopitishwa – Ali Salim Ali na Amour Kassim.

Majina mengine yaliyovuta hisia ni la Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, na Deo Sanga waliopitishwa kuchukua fomu Jimbo la Makambako, ambapo Sanga anatetea nafasi yake. Wilson Mahera, aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, amepitishwa kugombea Jimbo la Butiama. William Vangimembe Lukuvi, mmoja wa wanasiasa wakongwe zaidi wa CCM, amerudishwa kugombea Jimbo la Isimani kwa mara ya saba mfululizo.

Lukuvi ana rekodi ya kuwa bungeni kwa miaka 30 sasa.
Katika hali isiyo ya kawaida, baadhi ya waliokuwa wabunge wa CHADEMA na waliorejea CCM, nao wamepita katika mchujo wa chama hicho. Jesca Kiishoa, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, ameteuliwa kugombea Jimbo la Iramba Mashariki.

Ester Bulaya, mmoja wa wanasiasa waliokuwa maarufu CHADEMA, ametajwa miongoni mwa majina matano yaliyopitishwa kugombea Jimbo la Bunda Mjini.

Viongozi wengine waliokuwa upinzani ni pamoja na Peter Msigwa, ambaye sasa jina lake limepita Jimbo la Iringa Mjini, na Ester Matiko aliyefukuzwa CHADEMA, sasa amepitishwa kugombea Jimbo la Tarime Mjini.

Mchakato wa uteuzi wa CCM mwaka huu umeonyesha mwelekeo mpya wa kisiasa ndani ya chama hicho tawala.

Wakati baadhi ya sura kongwe zikitemwa, wanasiasa wapya na wale waliorejea kutoka upinzani wamepewa nafasi, hali inayoweza kubadili ramani ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Mchakato wa kupata jina moja kila jimbo utafanyika mwezi ujao
Sura kongwe zinatemwa wakati Lukuvi bado yupo Olesendeka huyu mzee uwa anakutana na Changamoto sana ni mzee Muungwana sana
 
Ole Sendeka ameliwa kichwa? Probably maswala ya Ngorongoro.

Engineer Hersi nadhani kakatwa na wana Yanga kwa kitendo cha kujisajiri ubunge huku akiwa anatakiwa kuiongoza Yanga.

Makamba na Byabato ni ndege wawili waliteuliwa kwa pammoja kuingoza wizara ya Nishati awamu ya Mama Samia japo Byabato alikuwa humo humo,mara wakahamishiwa wizara ya Mambo ya nchi za nje,wakafukuzwa wote kazi siku mmoja na sasa wameenguliwa wote kwa pammoja kwenye mchujo wa chama.

Makonda kapewa soft target baada ya kuodolewa mbabe mwenzie Mrisho Gamba.

Jerry Siraha katika hatua ya kuvizia uwaziri.

Ester Matiko na Ester Bulaya kama wanavyojipambanua wanakubalika kokote katika medani ya siasa za Bongo.

Mkongwe Lukuvi yeye ni reference "saikolopidia"ya bunge la Tanzania kaachwa kwa hilo.

Wale wasanii wawili wa Kigoma wataigizwa bungeni kama wachekeshaji kupunguza stress kwa wabunge makini.
Lukuvi yuko njia moja kuelekea kwenye rekodi iliyowahi kuwekwa na Hayati Mzindakaya ambaye anashikilia rekodi kwa kukaa Bungeni miaka 40. Chances ni kwamba Lukuvi ataiafikia rekodi hilyo ila hataivunja
 
Waziri Mkuu wa sasa, Kassim Majaliwa, alitangaza mwenyewe kuwa hatawania tena ubunge katika Jimbo la Ruangwa

Are you sure to the statement you have submitted

Wabunge walioachwa ukilidadavua kwa sana utagundua kwamba hawakuzisoma alama za nyakati na hivyo wamejikuta wanakwenda nje ya wakati

Mtu mwingine maarufu ambae jina lake halikuludi ni Mwijaku na baadhi ya wasanii wa Bongo Movie.
 
Kwani mm nimeandika nini kuhusu kasim majaaliwa embu soma vizur dada yangu
 
msilie Wala kujutia Kwa mlivyovipoteza, uchaguzi December utaenda kama ulivyopangwa
 
Back
Top Bottom