mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
mnh hata ka nnae nasema sina mana nisije nkapoteza bahati ya kiburudisho buuuuureeeee..................
Landala umenikumbusha Facebook karibia kila mtu ukiangalia status ya relationship yake ameweka ITS COMPLICATED kazi kweli kweli
Ajabu! kwanza kama mimi ukinijia hujaoa hata sikutaki nakutoa balu
Maty mbona unanikwaza weye banaa l.o.lAjabu! kwanza kama mimi ukinijia hujaoa hata sikutaki nakutoa balu
Ajabu! kwanza kama mimi ukinijia hujaoa hata sikutaki nakutoa balu
heee! Unataka aliyeoa?
Maty mbona unanikwaza weye banaa l.o.l
Ahaaaa ahaaaa asante MwenyekitiMaty hataki masharobaro LOL...hapo chacha
Kuna Masharobaro wengine wameoaMaty hataki masharobaro LOL...hapo chacha
hehehe Maty habari yako binafsi
tatizo my dear wengine pia wanasemaga wameoa/olewa kumbe sio kweli....
unashangaa nini sasa apo Husninyo jamani....we dare to talk openly
Kuna Masharobaro wengine wameoa
heee! Unataka aliyeoa?
Maty hataki masharobaro LOL...hapo chacha
mume wa mtu sumu!
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata mwanaume akikutana na mdada wakiwa wanabadilishana mawazo akiambiwa msalimie wifi anasema sina.Kwa nini wanaume kwa wanawake huwa hawapendi kusema kweli kama ana m2 au hana?
Natumaini hisa zangu zinazidi kukuaHuo ni msemo tu kama mingine mamy, sawa sawa na ukiambiwa eti mama mjamwepesi akila mayai mtoto anatoka na upara kwi kwi kwi