Watu kusema wameoa au kuolewa.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata mwanaume akikutana na mdada wakiwa wanabadilishana mawazo akiambiwa msalimie wifi anasema sina.Kwa nini wanaume kwa wanawake huwa hawapendi kusema kweli kama ana m2 au hana?
 
sasa kama kweli sina nisemeje?? sininaweza kupoteza bahati yangu???
 
sasa kama kweli sina nisemeje?? sininaweza kupoteza bahati yangu???

Kuna wengine wanao wapenzi,wachumba,mke au mume lakini wakiulizwa wanasema hawana,sasa sijui kwa nn huwa wanadanganya kuwa hawana wakati wanao.
 
My dear
Inategemea na situation
kuna wengine kweli hawana
na kunawale ambapo wamechoka na ndoa zao
na wengine wamekuona wewe ni mzuri kuliko
Wake/Waumee zao
Hao ndo wale ambao wanavua hata Pete za ndoa ..
 
Landala naona umekuja na kasi ya 180 per hour.

Mimi nasema ukweli bana nimeolewa tangu mwaka 1960 hapo ni sawa eehhh
 
Sidhani kama kuna ukweli na hili ...labda wale wa boyfriend na girlfriend ambao bado hawana maamuzi ya kuoana huwa wana wasiwasi wa kupotezewa muda hivyo huwa waruwaru kuangalia yupi ata nasa amuoe au aolewe lakini si kwa wana ndoa
 
Landala naona umekuja na kasi ya 180 per hour.

Mimi nasema ukweli bana nimeolewa tangu mwaka 1960 hapo ni sawa eehhh

Nakutakia kila la heri kwenye ndoa yako idumu milele na milele ila kumbuka kumuomba Mungu akujaalie ndoa yako iweze kudumu.
 
My dear
Inategemea na situation
kuna wengine kweli hawana
na kunawale ambapo wamechoka na ndoa zao
na wengine wamekuona wewe ni mzuri kuliko
Wake/Waumee zao
Hao ndo wale ambao wanavua hata Pete za ndoa ..

ukweli mtupu.
 
Mbona hii ipo wazi tu, anayekana ndoa yake/ mwenzi wake ujue anaangalia uwezekano wa kukupata wewe ili uwe wake
 
wahuni hao kwan ukisema umeoa au kuolewa inapunguza nini?
 
Landala umenikumbusha Facebook karibia kila mtu ukiangalia status ya relationship yake ameweka ITS COMPLICATED kazi kweli kweli
 
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata mwanaume akikutana na mdada wakiwa wanabadilishana mawazo akiambiwa msalimie wifi anasema sina.Kwa nini wanaume kwa wanawake huwa hawapendi kusema kweli kama ana m2 au hana?[/QUOM
Unaweza kuwa na mke/mume nyumbani lakini jinsi alivyo ni kama huna mtu.....so,,,,,,so ....sooooo bora useme sina tu!kwa sababu wanawake wengine ni kama vile mtu huna mtu yani!
 
Unaweza kuwa na mke/mume nyumbani lakini jinsi alivyo ni kama huna mtu.....so,,,,,,so ....sooooo bora useme sina tu!kwa sababu wanawake wengine ni kama vile mtu huna mtu yani!

Mkuu
Huyo mke/mume si mlipendana wenyewe???
Si mliapa kuishi ktk shida na raha???
Why uanze kujitembeza nje ya ndoa??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom