Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,992 31,695 Jan 4, 2017 #2 Binadamu huwa tuko hivyo mshukuru mungu kwa kila jambo
adden JF-Expert Member Dec 27, 2015 7,035 15,540 Jan 4, 2017 #6 maskini aliambiwa apewe mil 15 au jirani yake mwenye gari atobolewe macho!akasema mtoboeni tu na hiyo hela mpeni yeye
maskini aliambiwa apewe mil 15 au jirani yake mwenye gari atobolewe macho!akasema mtoboeni tu na hiyo hela mpeni yeye
ukhuty JF-Expert Member Oct 9, 2016 16,851 41,924 Jan 4, 2017 #7 adden said: maskini aliambiwa apewe mil 15 au jirani yake mwenye gari atobolewe macho!akasema mtoboeni tu na hiyo hela mpeni yeye Click to expand... Ubinadamu kazi
adden said: maskini aliambiwa apewe mil 15 au jirani yake mwenye gari atobolewe macho!akasema mtoboeni tu na hiyo hela mpeni yeye Click to expand... Ubinadamu kazi
Nyadundwe JF-Expert Member Jan 16, 2008 223 254 Jan 4, 2017 #8 Mimi nadhani watu watamshobokea zaidi huyo aliepandishwa cheo. Mfano, msiba wa masikini na tajiri anonymous wanakuwa wengi wapi?
Mimi nadhani watu watamshobokea zaidi huyo aliepandishwa cheo. Mfano, msiba wa masikini na tajiri anonymous wanakuwa wengi wapi?
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Jan 4, 2017 #9 Muombe na mtegemee Mungu saaana binadam tumejaa kasoro
Testar JF-Expert Member May 30, 2015 7,461 12,216 Jan 5, 2017 #10 Kwenye scenario ya kwanza wame-exaggerate mno. Ina maana baada ya kupata kazi hakuna ndugu, jamaa wala mnafiki aliye like au ku comment?
Kwenye scenario ya kwanza wame-exaggerate mno. Ina maana baada ya kupata kazi hakuna ndugu, jamaa wala mnafiki aliye like au ku comment?
Queen Kan JF-Expert Member Dec 26, 2012 5,087 8,594 Jan 5, 2017 #11 Totos Boss said: Muombe na mtegemee Mungu saaana binadam tumejaa kasoro Click to expand... Hakuna mkamilifuu
Totos Boss said: Muombe na mtegemee Mungu saaana binadam tumejaa kasoro Click to expand... Hakuna mkamilifuu
Hb wa Ilala JF-Expert Member Sep 23, 2015 1,181 1,212 Jan 5, 2017 #12 ..Muda mwingine watu hufurahi katika scenario zote sema wachache wana uwezo wa kuonyesha Hilo especially kwenye first scenario
..Muda mwingine watu hufurahi katika scenario zote sema wachache wana uwezo wa kuonyesha Hilo especially kwenye first scenario
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,556 9,531 Jan 5, 2017 #13 Nilishawahi kuingia kwenye choo Kimoja mitaa ya uswazi nikakuta Pameandikwa FILISIKA UYAONE MASIMANGO
Nilishawahi kuingia kwenye choo Kimoja mitaa ya uswazi nikakuta Pameandikwa FILISIKA UYAONE MASIMANGO
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,976 Jan 6, 2017 #17 binadamu tunasubiriana kwenye mabaya tu
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,529 Jan 6, 2017 #18 Siri kubwa ya mafanikio ni kumtakia mwingine mafanikio. ..alafu MOLA naye anakufungulia na wewe mara elfu. ..kumbuka AYUBU ALIBARIKIWA BAADA YA KUWAOMBEA MARAFIKI ZAKE. ..
Siri kubwa ya mafanikio ni kumtakia mwingine mafanikio. ..alafu MOLA naye anakufungulia na wewe mara elfu. ..kumbuka AYUBU ALIBARIKIWA BAADA YA KUWAOMBEA MARAFIKI ZAKE. ..