Kwa yai viza hapana hilo haliwezi kukupeleka popote kwakuwa tayari halina uhai hili linatumika zaidi kwenye uchawi wa kufisha na kuharibuBaharin ziwani kote kwenye mass ya maji huweza kuwa get ya kwenda.
Kutumia mayai visa etc.
Wish to hear more about hizo trip zako
Bin talking to smbdy akawa anazungumzia hizo meanz.....Kwa yai viza hapana hilo haliwezi kukupeleka popote kwakuwa tayari halina uhai hili linatumika zaidi kwenye uchawi wa kufisha na kuharibu
Habari za vifo mkuu zinatisha,unaweza ukaamua ukae tu usijishughulishe na chochote usubiri kufa tu!!Mmmh kwanini
Kweli kabisa! Tutende tu yanayompendeza Mungu ili siku ikifika tufe kwa amani.Ukifanya hivyo hutakufa
Jr mshanaNiandikapo mistari hii kuna watu wanakufa wengine watakufa baadae wengine usiku mwingi dunia ikiwa tulivu wengine kesho na kuendelea...mbele yao nyuma yetu
Kitu cha kushangaza kutoka wale walionusurika kifo ni simulizi zao za yale waliyoyaona au kukutana nayo pale roho zilipokuwa katikati ya kuzimu na dunia.
Lakini pia habari nyingine zinasema kuwa watu wanapokuwa katika kipindi hicho,wengi
- huona maisha yao yakipita mbele ya macho yao kama sinema
-wengine mabaya yao hujifunua na kuyasimulia bila kujua
-wengine huomba msamaha
-wengine huomba msaada
-wengine hujiona wakienda mbali sana
Wengine huona moto, malaika au viumbe wa ajabu
Kwa ujumla wake hali hii huelezewa kama hari za kifo...ni kipindi kigumu mno kwa wale wanaokutana na hizi mambo.
Lakini kuna wengine hufa wakiwa usingizini kwa amani kabisa wala bila kujitambua kuwa wamekufa , hawa nyuso zao huonekana zimetulia kabisa ni kama wamelala.
Kitu cha ajabu ni wale wafao huku hari za kifo zikiwaandama nyuso hukunjamana na kubaki na maumivu hata baada ya roho kuachana na mwili.
Usiwe mtu wa vinyongo Usiwe mtu wa dhuluma Usiwe mtu wa visasi Usiwe mtu wa rohombaya, vitu hivi huzalisha roho zitakazokutesa mpaka kifo....kama una nyongo umezihifadhi tumboni jitahidi kuzitapika usiku huu..ya kesho huyajui
Is this mark ' is an exclamationMatola you either don't understand English or uandishia wako umejawa na mhehemko. Nkuba25 did not say/write Gods rather he/she wrote God's - here the exclamation mark and S represent "Possession case" and not plural form of God.
Ok my question is " marehemu mtarajiwa huhisi Nini au husikia Nini wiki moja,mwezi Mmoja au hata mwaka Mmoja kabla ya kifo chake?' I need to prepare myself for this episodeKuna kitu kinaitwa mjuaji mpe ushindi. ..nitaielezea kwa kirefu kesho
Kifo hakina maandalizi hayo ya kimwili... Ni jambo la kiroho zaidi na hutokea muda mchache kablaOk my question is " marehemu mtarajiwa huhisi Nini au husikia Nini wiki moja,mwezi Mmoja au hata mwaka Mmoja kabla ya kifo chake?' I need to prepare myself for this episode
Sent using Jamii Forums mobile app
All in all nahitaji kujiandaa kwa kifo. It shouldn't be so sudden. Lazima iko njia, forget about Mambo ya kirohoKifo hakina maandalizi hayo ya kimwili... Ni jambo la kiroho zaidi na hutokea muda mchache kabla
Jr[emoji769]