Watu huona nini wanapokaribia kufa?

Mmmh! Wengine tunalala wenyewe mkuu.. Kuna siku nilishuhudia nyoka mkubwa akiwa ndani ya kaburi watu tukachangukana na kumuacha marehemu.. Cha Ajabu tuliporudi tukakuta nyuki ndani ya kaburi badala ya nyoka... Ilitokea HANDENI hili tukio lilinifanya niwe mtu wa kushtuka kwa miaka kadhaa
 
Hata hiki kitu kinachoitwa kuchanjia muku sio kizuri sana roho hutoka kwa ugumu sana na vibweka haviishi mpaka makaburini
 
ivi mwizi anavyopigw vile anaptaga kweli huo mda wa kusikilizia vyote ivyo.???
 
Matola you either don't understand English or uandishia wako umejawa na mhehemko. Nkuba25 did not say/write Gods rather he/she wrote God's - here the exclamation mark and S represent "Possession case" and not plural form of God.
Hivi vinaitwa viherehere, inawezekana hata hujui kati ya kiboko na mamba nani kiboko majini?
 
Mshana Jr katika ubora wake.

Mkuu mimi binafsi zile habari zako za kishirikina huwa sizipendi kabisa ila hili nina kamchango na labda kwa manufaa mapana ya wana JF hebu tufafanulie kwa mtazamo wako however your opinion does not represent the truth about death philosophy.

1. Ktk moja ya thread zako Unasema kifo is a good thing kwasababu ndio kinacho tu-transform kutoka Ktk maisha haya to the next life, lakini kwa mujibu wa well documented religious books (mainly Christian and Islam ) death looks and it is indeed a painful process and a bad thing.

Facts; anglia Yesu walipomsulubisha alipofikia kukata roho kwa uchungu na huzuni akasema "eeh baba kama inawezekana basi uniepushe na kikombe hiki" lakini kama ni mapenzi yako yatimie, na ikumbukwe huyu alikuwa assured to go to heaven(though kuna waliojitoa ufahamu kuwa yeye ndo Mungu mwenyewe)yet he was not ready to face death

In Islam through authentic hadith, prophet Mohammad (SAW) Wakati yuko sakarati li-mauti alijawa na huzuni huku jasho ikimtoka na kipenzi chake malaika jebril alishuka kumuangalia nabii - llah kwa huzuni Wakati wa kukata roho, again huyu nae despite being God's prophet yet death was a bad experience!

Sasa Mkuu hebu niambie how death become a good thing if these two God's prophets were afraid of death seuze wewe mshirikina ([emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ) na mie

2. Huu uzi wako tunaojadili sasa kwa maoni yangu ni contrary na ule mwingine au kwamaana nyingine unakubaliana na hiyo fact hapo juu

Pls hebu fafanua. Mwisho onyo au angalizo kwa wana JF Mshana Jr sio mshirikina kama nilivyesema hapo juu it's just a joke in connection with most of his thread. I respect this gentleman
 
Kwanza good morning Mc Zipompapompa
Hizi nyuzi mbili ni turning point ya kuondoka kwenye mambo ya kishirikina hasa kipindi hiki cha Kwaresma kuelekea kwenye eneo lingine la maisha na kifo katika uhalisia wake
Kwenye ile topic nyingine 'Sanaa ya kifo' bado hali ni ile ile hata kwa Yesu Kristo kwakuwa alivaa mwili wa binadamu...lakini kama unakumbuka vema yule mmojawapo aliyekuwa naye alisema 'Eee Bwana unikumbuke katika ufalme wako...' naye akamjibu ...'...nitakuwa nawe...'
Kwahiyo bado mantiki ni ile ile kikwazo na matisho ya kuvuka kizingiti cha kifo huwa kwa wote japo hawa waliangaziwa kuwa kuna mahali wanakwenda baada ya pale

Tukija kwenye uzi huu hata Yesu alionja hari za kifo zile dakika za mwisho pale aliposema. ...eeh Baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke....lakini baadae anapopata ujasiri anwaombea wote waliomtesa kwa kusema eloi eloi lamazabikitani...Mungu wangu uwasamehe....
Ni kwanini Yesu Masiyah alionja uchungu na utungu wa kifo wakati hakuwa na mawaa? Ni kwakuwa alivaa mwili wa kibinadamu na kufanya yote aliyoyafanya na kufanyiwa ili andiko/unabii vitimie
Post ile ya sanaa ya kifo inaelezea maandalizi ya kifo na nini kitatokea baada ya kufa (mtihani wa kifo)
Post hii inadili na kile kipengele kimoja tuu ...dakika za mwisho roho inapotaka kuachana na mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…