huko India mtu kauza figo yako moja milioni 20, lakini hapa TZ mtu anatoa moyo wake bure kwa mwanamke lakini bado haridhiki anataka na pesa aende saloon, mbona tunakufa huku tunajiona.
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Mkuu.....huko India mtu kauza figo yako moja milioni 20, lakini hapa TZ mtu anatoa moyo wake bure kwa mwanamke lakini bado haridhiki anataka na pesa aende saloon, mbona tunakufa huku tunajiona.
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
sasa kama unatoa moyo lakini bado uko hai kwa nini usiombwe pesa mkuu??