Watu hawamjui vizuri Kikwete

Watu hawamjui vizuri Kikwete

Unahukumu kabisa aseee. . . . .

Si hukumu ni FACT kaka.Ukitaka kupata uhakika angalia watu waliowaumiza wenzao wakoje leo?Hebu tumuone Mkullu walivyomuumiza Salim Ahmed Salim,je huyu mtu mpaka leo anajisikiaje?Alifurahi?Masikitiko yake na familia yake yataenda bure?

Chochote ukifanyacho kiovu kinakurudi mwenyewe.Kaka Mungu ni wa kumuogopa sana sana.
 
daa wanajuana walipotoana...undani wa rafiki yako unaujua hata kama mliaahidiana kubadilishana madaraka....ukitoswa ni wote mko under the same shadow.....ni kama jambai kumuua jambazi mwenzake pale ambapo anaokeana atasababisha wakamatwe wote....both are the wrong side mwishoni wrong outcomes....au wezi wanasaidiana...mwishoni kuibiana au kudhulumiana
 
Bavaria upo sahihi,jk alikua anajua msimamo wa wale wazee ni john,na yeye alikua anajua hivyo,ona alivyomdekeza menbe kama vile yupo nae,ona alivyomfanya pinda kama vile ndo chaguo lake,membe leo mpaka sasa haijulikani yupo wapi kapagawa,haamini,na ndo maana mpaka ubunge alishaaga,atafanya kazi gani jamani!!!pinda presure akaanguka chali haamini masikini!!huyo ndo jk
 
ndio rais anatakiwa kuwa hivyo complex and unpredictable. . . .hiyo ndio sawa we unayaka umjue rais kama chumbani kwako hata giza totoro unajua kitana kilipo???!!!!!

acha ujuha wewe, we unawajua watu complex & predictable au unaongea tu. Ok sasa pamoja na kumsifia amesaidia nini taifa zidi ya kututia aibu kuwa na vasco da gama na kushusha uchumi wetu na mengine mengi ya hovyo kaisa , hafu wewe unamsifia what a shame on u....au ndo hizo buku7 akili imehamia makalioni....
 
Huyu bwana ni sumu ya maangamizi kama tunavyosota na sintofahamu ya utawala wake wa miaka 10. Kesha jipatia kinga ya urais lakini mafuriko hayazuiliwi na kidole
 
Kwahiyo wewe umeelew nini?
Nimekuta mjadala jana mahali fulani baadhi ya wabarikiwa walio barikiwa kula nchi wakibishana kwamba watu hawamjui Kikwete.

Ndipo alipotokea mmoja na kusema mheshimiwa huyo akiwa na shida na akiona tatizo lake linamhitaji fulani ili alitatue , akishakutumia na lengo lake limetimia anakuweka pembeni ana angalia mambo mengine.

Nimeona kama msemo huo una maana , Hebu tuutafakari kwa kina.
 
Mbona unatoka povu mkuu au na wewe ndio unatumika kwa sasa nini?! kumbuka akishatimiza anachotaka toka kwako na wewe atakudamp tu.naona kuna ukweli kwenye hili haswa ukiangalia mifano mingi tu watu waliotoa hapo juu. anyway haya ni mawazo ya mtu tu kulingana na mazingira anayoyaona so waweza kuyakubali ama kuyakataa na hakuna haja ya kuinsult mtu kana kwamba unachofikiria wewe tu ndio sahihi mkuu.hili ni jukwaa huru bana
Jamaa yangu wewe ndio una POVU
unajua mm nimemjibu nani? tafuta Post yake ndio uje uniwakie
Huwezi Mkashifu Rais namna ile na kunanga
ni kwamba nawasufu Mod's kwa kupunguza munkari na post chafu
usione tu post ya majibizano lazima ujiulize kajibiwa nani
Nitafutie Post yangu utajua mwenye kaulu chafu ni nani
lakini kudandia kati ni kutupa kazi
 
Nimekuta mjadala jana mahali fulani baadhi ya wabarikiwa walio barikiwa kula nchi wakibishana kwamba watu hawamjui Kikwete.

Ndipo alipotokea mmoja na kusema mheshimiwa huyo akiwa na shida na akiona tatizo lake linamhitaji fulani ili alitatue , akishakutumia na lengo lake limetimia anakuweka pembeni ana angalia mambo mengine.

Nimeona kama msemo huo una maana , Hebu tuutafakari kwa kina.

Napenda nikujulishe kuwa, kikwete ametumia mbinu za mwana farusafa ayanyeitwa Mackiaveli, ambaye anasema kuwa tumia mbinu yoyote ile hata kama ni kuua katika kupata madaraka, na ukisha pata madaraka, tekeleza mipango yako bila kujali ni nani alikusaidia kufika hapo ulipo. Lowassa aende akasome kitabu cha mwanafarusafa huyo atajua kilichomfika, aache kulialia na kutaka kuonewa huruma na watu kama mtoto mdogo. Politics is dirty and dengerous game, be careful
 
Na yy ametumiwa vya kutosha,ikifika october watu watamueka kwenye!dast bin" watahamia kwa magufuli..
Mla huliwa.
 
In real life hupaswi kuwa na rafiki au adui Wa kudumu. Unapaswa kuwa na maslahi ya kudumu. Utapinga ila ndio dunia ilipofikia...
 
Kikwete siyo mjinga aache kuangalia maslahi ya nchi amwangalie lowasa na genge lake la majambazi.semeni vyovyote mtakavyosema. Jk kacheza kama Ronaldo de lima.
 
Napenda nikujulishe kuwa, kikwete ametumia mbinu za mwana farusafa ayanyeitwa Mackiaveli, ambaye anasema kuwa tumia mbinu yoyote ile hata kama ni kuua katika kupata madaraka, na ukisha pata madaraka, tekeleza mipango yako bila kujali ni nani alikusaidia kufika hapo ulipo. Lowassa aende akasome kitabu cha mwanafarusafa huyo atajua kilichomfika, aache kulialia na kutaka kuonewa huruma na watu kama mtoto mdogo. Politics is dirty and dengerous game, be careful

Farusafa = falsafa
Umenifurahisha kumnukuu nicolo Machiavelli ....power politics
 
Back
Top Bottom