Watu bora kabisa kupata kutokea

Watu bora kabisa kupata kutokea

Varbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
1,124
Reaction score
895
Julius Kambarage Nyerere
Pope John Paul 2
Nelson Rolihlahla Mandela...
Mother Theresa
Martin Luther King
Hawa kwangu ni top 5 bora kabisa nawaheshimu Sana hawa watu kiroho na kimwili. Asante Mungu kwa kuwaleta duniani
 
Ngoja aje Mohamed Said hapo utaonja joto ya jiwe!
 
Bora umesema kwako aisee, maana kila mtu ana wa kwake, mimi kwangu ni baba na mama kwanza alafu mke wangu aisee kisha ndugu zangu tuliozaliwa nao
 
ni kweli ka upande wako hao ndio bora, lkn kwa binaadamu woote aliyembora ni MTUME MUHAMMAD (SAW)
Julius Kambarage Nyerere
Pope John Paul 2
Nelson Rolihlahla Mandela...
Mother Theresa
Martin Luther King
Hawa kwangu ni top 5 bora kabisa nawaheshimu Sana hawa watu kiroho na kimwili. Asante Mungu kwa kuwaleta duniani
 
Mtoe madiba kwenye hiyo list, hana lolote na heshima anayopata ni ya kutengenezwa na mataifa ya magharibi.
 
Yani umegusa mule mule...Hawa watu hawatasahaulika kwenye mioyo ya mamillioni ya watu duniani..
 
Mtoe madiba kwenye hiyo list, hana lolote na heshima anayopata ni ya kutengenezwa na mataifa ya magharibi.

jeykei hata uweke orodha mpaka ifike bilioni hawezi kuwepo.
historia unaijua kweli?
vigezo je?
mzee wa Mwitongo na Madiba hawana mfano aisee...
 
Mtoe madiba kwenye hiyo list, hana lolote na heshima anayopata ni ya kutengenezwa na mataifa ya magharibi.

Ukweli upo hivo na hadi nakufa najua hao ndio best!! Hao wote hua nikisoma hata taarifa zao tu hua nasikia Kama ganzi mwilini! Kila Mtu hapo alijitoa kutumikia Jamii nimemuona Nyerere, Mama Theresa na pope John Paul!! Hiki kipindi Madiba anaumwa najisikia bby Sana naamini mungu atamtolea kivuli cha mauti asherehekee miaka 95 mwezi ujao!!
 
jeykei hata uweke orodha mpaka ifike bilioni hawezi kuwepo.
historia unaijua kweli?
vigezo je?
mzee wa Mwitongo na Madiba hawana mfano aisee...

mnyonge mnyongeni haki zake mpe,
jeikei- katiba mpya , uhuru wa kuongea,
 
Wenyewe wakija watakwambia mtu muhimu zaidi ktk maisha yao ni sheikh yahaya au sheikh ponda........ngoja waje
 
Ukweli upo hivo na hadi nakufa najua hao ndio best!! Hao wote hua nikisoma hata taarifa zao tu hua nasikia Kama ganzi mwilini! Kila Mtu hapo alijitoa kutumikia Jamii nimemuona Nyerere, Mama Theresa na pope John Paul!! Hiki kipindi Madiba anaumwa najisikia bby Sana naamini mungu atamtolea kivuli cha mauti asherehekee miaka 95 mwezi ujao!!
muoshwa ubongo?
kwa yapi hasa aliyoyafanya madiba?
weusi wenzake bado ni maskini, siasa ya kuunganisha afrika hajawahi kihubiri hata siku moja! kwangu mimi ni bora ghadafi/nkrumah
afe tu na apumzike kwa amani!
 
mnyonge mnyongeni haki zake mpe,
jeikei- katiba mpya , uhuru wa kuongea,

Kikwete Hamna Lolote Katiba mpya yenyewe walioba katunga ya kwake! Mpk anaondoka haitakuwepo nanawajua wauza unga hawashughulikii, anawabeleza mafisadi warudishe EPA udini umepamba moto ilibakia kidogo tuchinjane! Kikwete atabakia kua rais wa nne basi!
 
Back
Top Bottom