Hili daraja letu!
Hizi tozo kwa magari ya serikali hususani ambulance na magari ya serikali yanavyotozwa pale kigamboni,Basi kama imeonekana kuwa ni biashara, naomba serikali pia iruhusu watu/taasisi binafsi kujenga madaraja hususani yanayowapa taabu wananchi maeneo mbalimbali hapa nchini na hayajawahi jengwa, kuna watu wanapata shida hasa wamama wajawazito. Kuna madaraja hapa nchini watu bado wanavuka kwa kamba;
Mfano; madaraja muhimu kama kule Mbagala-mgeninani, ambapo kuna kijimto kinachotenganisha Mgeninani na NSSF Mikwambe ambapo ikiruhusiwa watu binafsi wajenge madaraja madogo madogo mhimu kama haya naimani watajenga na kutoza tozo nafuu kabisa,ili kunusuru adha ya wakazi wa Mbagala na Kigamboni watakao pitia njia hii.
Mifano mingine pia kule Mbezi Salasala kuna kijimto ambapo mvua ikinyesha watu hawavuki upande wa pili.Kwa mfano huu wa daraja la Kigamboni basi naomba serikali iruhusu watu binafsi kuwekeza katika ujenzi wa madaraja kwa tozo nafuu zaidi hata kuriko hizi za NSSF.