Watu bhana

Watu bhana

Bana Balume

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2017
Posts
999
Reaction score
2,730
Mmh
wcb_comedi___Byf3SelgoH7___.jpeg
 
Hili ndilo lilikuwa lengo la wazungu kuanzisha Porn Industry.
Hayo ndiyo madhara yake,
Halafu watu wanataka tujenge viwanda akili zetu zipo Busy zinawaza mambo madogo [emoji16]
 
Hakuna nchi yoyote duniani, Wananchi wote waliwahi kujenga viwanda;
Panya wengi hawachimbi shimo.
 
Hakuna nchi duniani isiyokuwa na watu wenye vituko
Na asilimia 90 kama sio mia ya vichekesho unavyoona hapa tz ni copy
Mkuu we una akili.. sijui wanataka kila mtu awe na kiwanda kwenye nyumba yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom