Watu aaah!!

Watu aaah!!

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
Mlevi mmja aliingia bar akasema kwa sauti mhudumu nipe bia na mpe kila mtu bia yake maana nikinywa bia napenda kila mtu anywe yake.~~watu wote;oyeeeeeeh!.wakapewa. mlevi akasema tena;mhudumu niletee mchemsho wa mbuzi na mpe kila mtu mchemsho wake maana nikiagiza mchemsho napenda kila mtu apewe mchemsho wake. Watu wote;oyeeeeeh!.wakapewa mchemsho. Mlevi akasema tena;mhudumu niletee bili na mpe kila mtu apewe bili yake maana nikipewa bili napenda kila mtu apewe bili yake.Watu wote;aaaah!. haiwezekani.tumkamate mwehu huyu****
 
mlevi akasema tena,muuza nyama nikatie kilo1 na kila mtu..... size yake tafadhali,
 
Back
Top Bottom