Hayo mabalaa ni kawaida tu, kuna hili la polisi wawili kupigwa nondo mmoja kafa mwingine yuko hoi hospitali, na watu kibao wamepigwa nondo jeshi la polisi limeshindwa kuwadhibiti pia limeogopa kutoa taarifa sahihi juu ya watu waliopigwa nondo, yaani mbeya ni balaa ushirikina nje nje, juzi kuna ajali imetokea iyunga ambapo mama mmoja aligongwa na Hiace akafa wakatokea watoto wawili wakiwa wamevaa uniform za shule ya msingi wakaanza kulamba damu hapo barabarani, watu walivyoanza kutaka kuwakamata walitoweka kimiujiza. ogopa Mbeya ni balaaa.