Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi.
Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki dunia. Katika Ngong, watu wawili wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa makabiliano makali.
Mtu mwingine aliuawa mapema leo huko Mukuru. Vikosi vya usalama vinaendelea kukabiliana na waandamanaji katika maeneo kadhaa ya nchi huku hali ya wasiwasi ikiongezeka
====
At least five people have been killed in today’s Saba Saba protests as clashes between anti-riot police and demonstrators intensify. In Kangemi, a civilian was shot and his condition remains unclear, while two others were confirmed dead. In Ngong, two people were shot dead amid violent confrontations. Another protester was killed earlier in Mukuru. Security forces continue to battle protesters in several parts of the country as tensions escalate.
Updates.....
Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Kenya (KNCHR) imeeleza wasiwasi wake juu ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ulioripotiwa wakati wa maandamano ya kumbukizi ya Siku ya Saba Saba yaliyofanyika leo, ukiwemo ukatili wa kimauaji, kukamatwa kiholela, na matumizi makubwa ya nguvu na polisi katika maeneo mbalimbali ya nchi.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jioni ya Jumatatu, Makamu Mwenyekiti wa KNCHR, Dkt. Raymond Nyeris, alithibitisha kuwa hadi saa 12:30 jioni (6:30 p.m.), Tume ilikuwa imebaini na kuandikisha matukio yafuatayo:
Maandamano hayo yalifanyika kuadhimisha harakati za kihistoria za kudai demokrasia ya kweli zilizofanyika mwaka 1990, maarufu kama Saba Saba, na yaliathiri kwa kiasi kikubwa hali ya kawaida ya maisha katika baadhi ya maeneo ya nchi.
================
The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has expressed concern about serious human rights violations committed during today's Saba Saba anniversary protests, which included deadly violence, arbitrary arrests, and a heavy-handed police response throughout the country.
In a press statement issued Monday evening, KNCHR Vice Chairperson Dr. Raymond Nyeris confirmed that by 6:30 p.m., the Commission had documented ten deaths, twenty-nine injuries, two abductions, and thirty-seven arrests in seventeen counties.
The protests, held to commemorate the historic 1990 Saba Saba pro-democracy movement, brought normalcy to a near halt in some parts of the country.

- Vifo: 10
- Majeruhi: 29
- Utekaji: 2
- Waliokamatwa: 37
- Mikoa iliyohusishwa: 17