Maisha ni kama soka,unawiza kupanga straika goli akafunga winga.
Sipendi vya kupewa
Usiumie moyo kufulia nitachelewam
Usichague kazi wengine mpaka wanauza sanda
Ndo hivo nimetoka endelea kubashiri
Nimeumiza kichwa ila wanadai nimepaste
Maisha ni kama soka,unawiza kupanga straika goli akafunga winga.