Watoto wazuri mnawapata wapi?

Watoto wazuri mnawapata wapi?

Tafuta fedha nunua Vogue,Tafuta V8 flani hiv,Maserati kisha Jenga Ghorofa moja hivi,anzisha bizness ya maana,kisha tafuta chawa wa Bongo fleva au mtangazaji wa redio awe close na wewe,hakika UTAWAKIMBIA.

V8.jpg



VOGUE.JPG


MAZ.jpg


GHOROFA.jpg


IMG-20151016-WA0026.jpg

Mkuu ushauri wako nimeupokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta fedha nunua Vogue,Tafuta V8 flani hiv,Maserati kisha Jenga Ghorofa moja hivi,anzisha bizness ya maana,kisha tafuta chawa wa Bongo fleva au mtangazaji wa redio awe close na wewe,hakika UTAWAKIMBIA.

View attachment 1000459


View attachment 1000460

View attachment 1000461

View attachment 1000462

View attachment 1000464
Mkuu mi staki wengi nataka mmoja tu. Kuna watu wana hayo yote unayoyasema na wana wake wa kawaida sana. Na kuna watu hawana kitu na wana totoz za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mazee? Wale wadada wazuriii wanaofunga nywele zao ndefu kwa nyuma, wale warefu wenye shape na wanavaa magauni marefu, wale wenye matumbo flat, wale wasiovaa mawigi, mnawatoa wapi?

Mi nakutana na magumegume tu. Aah mpaka ngachoka mimi.

Jamaa kaingia na mdada mkali sana hapa. Ngoja nione kama naweza pata namba maana am sure jamaa hajamuoa bado. Usikute anamfuja tu mtoto mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
wanapatikana mahakama mkazi kisutu wee ukifka sukuma kisha uliza hlo swali hakika utajibiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi staki wengi nataka mmoja tu. Kuna watu wana hayo yote unayoyasema na wana wake wa kawaida sana. Na kuna watu hawana kitu na wana totoz za maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi fanya vipi jiunge na chuo uanze kusoma degree,si unajua wanafunzi wengi boom njaa wakiona unaingia na Maserati mara Vogue utakuwa talk of the town kwahiyo utapata type yako unayotaka na utachukua m1.

Si kweli mkuu nenda Dodoma uone Wabunge wengine wana sura za Goti wanakula watoto wakare,haukumbuki Marehemu MBAKO alikuwa anamla Mrembo MJELA JELA?
 
Back
Top Bottom