Watoto wazuri mnawapata wapi?

Watoto wazuri mnawapata wapi?

hao warembo Unao waona wengi wakuja ukiwa na usafiri wa maana na mkwanja unawavuta chap.

Alafu nikupe siri ya kushobokewa nao Punguza Usiriasi sana !!! Acha kukaza kivile cheki unaishi kama upo kwenye idara yako kule job vile una Degilii na na ni CO wa ofici bac Unavimba mzee baba Unajikuta kuta afu unajickia... mhh acha siye tupite nao hivi

be charity person mkuu
 
Mkuu wewe ni lile kundi la watu wanaoitwa 'Mungu hakupi yote' unaweza kuwa na fedha ya matumizi kushinda wao, sura zuri, usafiri wa nguvu lakini demu bomba unaishia kumuona tu road, ukitongoza anakwambia mimi nina bwana wanguu... unaangukia kule kule kwa unaowaita madumedume, sometimes unaweza kukuta profile ya demu bomba hapa JF ama kwenye social media zingine, unatongoza na mnapeana miadi, siku mkionana unaenda kukuta kitu tofauti kabisa, zile zile tu dumedume sura mbovu. Unaenda club na mkwanja mrefu unakuta kitu cha maana kabisa natural unajua fika huyu anajiuza unamu approach anakupiga na chini dakika mbili nyingi anatokea njemba choka mbaya anachukua mzigo..... unachoka unaanza kuhonga sana kwa mmoja aliekupa namba yake kibahati mbaya, mpesa kwa sana na hupewi mzigo, unapata pressure unakufa.
 
Hahahaa ànapata presha anakufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom