Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Ukiambiwa chaguwa mtoto hapo utachaguwa mtoto yupi?
Hebu tuwekee na wa ngozi nyeusi basi...
Attached ThumbnailsUkiambiwa chaguwa mtoto hapo utachaguwa mtoto yupi?
mkuu nikiambiwa tu mmoja kati ya watoto hao ni mwanangu kitakachotokea -----------------
nipo na babu seya tunaimba
Acha ubaguzi watoto wote ni wazuri Meljonsnaskitika sijaona hata mmoja maana napenda wa kiafrika zaidi.
Wanawake wakubwa huwa hawaitwi watoto wanaitwa wachumba watoto ni wadogo majuto mperungukumbe ma kid nilijua baby
mama
Toto la nguvu ni WMchumba wangu ukiambiwa watoto ni kids rpgMi nikajua totoz za nguvu, kumbe vijitoto!