Watu wagongeshe miamba.Serikali inaweza kuthibiti mabao?
Wale wa kule huwaambii kitu. Kila mtoto anakuja na riziki yake watakwambia na Ni maamlisho ya mkubwa, unquestionable watasema. Outcome ndio wanatengeneza pc kubwa ya panya road na vibaka wengine.Hali ya maisha nchini imezidi kuwa ngumu zaidi, hali ni ngumu zaidi kwa familia zenye watu wengi ambao ni tegemezi kwa angalau wanafamilia wachache wenye kipato ambacho nacho ni kidogo...
Airdhi yote hii ,ACHA ibaki ilivyo ,watu wazae bwanaHali ya maisha nchini imezidi kuwa ngumu zaidi, hali ni ngumu zaidi kwa familia zenye watu wengi ambao ni tegemezi kwa angalau wanafamilia wachache wenye kipato ambacho nacho ni kidogo...
Bora wewe, mimi hapa wapo wadogo ns wakubwa zako saba na bado nguvu ninazo sasa hivi nataka kabinti kenye miaka kama 21 kanizalie sitaMimi nikizaa wachache sana, basi ni wa5
Walikuja kuomba unga kwako? Umewahi kusikia wanaomba msaada kwako? Waache maana maisha haya Kila mtu na faraja yake. "Masikini na wanangu, tajiri na Mali zake"Miafrika inazaana kama mbwa na haina mipango thabiti ya malezi na makuzi ya watoto wao...
Unakuta mimama ya kiafrika imepagata watoto kila mahali huku hali zao zikitia kinyaa sana.