masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
hawa watoto watakuwa na akili ya kiuasherati.
Kwa kawaida watoto ni watundu sana na hupenda kufahamu kilichojificha , lakini hawa ni zaidi
Sijui utawakatazaje?
hivi kufahamu vitu mapema ndo kuathirika..??utandawazi umewaathiri tangia wakiwa tumboni