Watoto watundu sana hawa

Watoto watundu sana hawa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
601522_10151849783840606_2080999563_n.jpg
 
Niliwahi kufanya tukio linalofanana na hili nilipata kibano toka kwa dingi sitosahau,weeeee hapa rudia tena hiyo kitu
 
kwanza nitacheka pili nitawambia wasirudie tena tatu lazima niwachape kidogo nne nitawambia wakalale baada ya kuchapwa.
 
Hako kaliko mbele ya TV ndio kataniudhi sana, maana hakajatambua kosa sababu kanatabasamu.
Bora huyo mdogo yuko siriaz how to resolve the mess they have created.
 
Duh ukiwakuta wamefanya hivo sijui hata uwafanye nini...

unacheka tuuuu basi...hii inanikumbusha mwanangu wakati anamwaka nikosebleni na check tv yeye akaingia chumbani kimya kimya,kujakushtuka kajipaka mafuta karibia kopo zima kapuliazia hayo manukato kwenye mashuka na kwenye nguo za mama zilikuwa kitandani..nilivo mkuta katika hiyo hali ilibidi nicheke mwenyewe tuuu....
 
Ndio utoto!!Wanapenda kujaribu,thank god hawaja kunywa hio kitu!!Moja alipaka vaseline kwenye tv yote ikisha akatafuta njia ya kuingilia kwenye tv ili awemo kwenye filamu!
 
Ha ha haa safi sana! Wakitoka hapo wanaenda kupanda kitandani wanalala.
 
itafikia hatua wataanza kuogopana the way walivyojipa rangi!! ukiwa na mapacha double wa sampuli hii unaweza kukimbia nyumbai!!
 
Hako kaliko mbele ya TV ndio kataniudhi sana, maana hakajatambua kosa sababu kanatabasamu.
Bora huyo mdogo yuko siriaz how to resolve the mess they have created.

Haaahhahaha hako me ndo naona kama katanichekesha hasira zote kwisha
 
unacheka tuuuu basi...hii inanikumbusha mwanangu wakati anamwaka nikosebleni na check tv yeye akaingia chumbani kimya kimya,kujakushtuka kajipaka mafuta karibia kopo zima kapuliazia hayo manukato kwenye mashuka na kwenye nguo za mama zilikuwa kitandani..nilivo mkuta katika hiyo hali ilibidi nicheke mwenyewe tuuu....

Hahahahahaha hapo lazma ucheke
 
Back
Top Bottom