Watoto wangu wananifilisi

Watoto wangu wananifilisi

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,062
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.

Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.

Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.
 
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium.
Yani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeyey hanaga mambo mengi anatapa pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inkua ngumu plz nipeni ushauri.
wape watoto watakacho bhana, kwani wao siyo furaha yako?
 
'Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo'!
 
Nakushauri Kuazia Leo Usiwape Pesa (huduma) Ili Huyo Wa Kike Akuletee Mimba. Na Hao Wakiume Waaze Udokozi Mwisho Wa Siku Wafukuzwe Shule Wakawe Chokoraa. Nadhani Hapo Furaha Yako Ndipo Itakapo Timia.
Ova!!
 
Anhaaa kumbee ndo unavowalea wanao tumekuelewa kama ulivotaka tukuelewe,endelea tu kuwapa pesa toa pesa toa pesa wapatie kila watakacho.
 
Mtoto akiwa mdogo wapaswa kumjengea hali ya kujua kuwa kuna wakati itambidi akose baadhi ya vitu avihitajivyo na kupata vile vyenye ulazima sana ,hili ufanywa kwa kumnyima mtoto baadhi ya vitu kama ulivyovitaja makusudi..........
hii husaidia pale mzazi akosapo pesa kwa kuwa mtoto tayari ujengwa katika hali ya ustahimilivu...

kama uliikosea tamaduni hii ya toka enzi za mababu zetu bhasi wapaswa uendelee kujiumiza hadi pale watakapoanza kujitegemea maana ukuliona hili na kama utalazimisha kubadilika bhasi tegemea dhoruba kubwa zaidi ya kujiumiza kwako...........
SAMAKI AKIKAUKA HAKUNJIKI BALI HUVUNJIKA ...........

ingawa nimepata mashaka na ukweli wa story yako lakini nimetoa ushauri huu kwa kuwa wazazi wengi wa kisasa hulikosea hili
 
Ni kwamba hutaki kuwapa kwasababu huna au hutaki kuwapa tu?
 
nipeni ushauri zai
Mtoto akiwa mdogo wapaswa kumjengea hali ya kujua kuwa kuna wakati itambidi akose baadhi ya vitu avihitajivyo na kupata vile vyenye ulazima sana ,hili ufanywa kwa kumnyima mtoto baadhi ya vitu kama ulivyovitaja makusudi..........
hii husaidia pale mzazi akosapo pesa kwa kuwa mtoto tayari ujengwa katika hali ya ustahimilivu...

kama uliikosea tamaduni hii ya toka enzi za mababu zetu bhasi wapaswa uendelee kujiumiza hadi pale watakapoanza kujitegemea maana ukuliona hili na kama utalazimisha kubadilika bhasi tegemea dhoruba kubwa zaidi ya kujiumiza kwako...........
SAMAKI AKIKAUKA HAVUNJIKI BALI HUVUNJIKA ...........

ingawa nimepata mashaka na ukweli wa story yako lakini nimetoa ushauri huu kwa kuwa wazazi wengi wa kisasa hulikosea hili
nashukuru kwa ushauri wako mzuri.
wewe umepata mashaka wapi ndugu?
 
mshauri uyo wa kike atafute kidume kizito kama wewe ili garama kwako zipungue, hahaha au sio!
 
Mbona kipindi cha awamu iliyopita ulikuwa hauleti malalamiko yako ayo?umeanza kuisoma namba?!samaki mkunje angali mbichi.
 
aisee pole sana Mkuu.kwanza hongera ka kukuza na kusomesha ni hatua kubwa sana. wengine kwaaanza bado ndio tunajiandaa kufika huko. jitahidi sana kuwapa wanao fraha. wape tu, jitahid kutafuta pesa. ila ukiona haliinazdi kuwa mbaya wapunguzie tu kiwango. pia ukiwa huna waambie na wakuelewe na waone kweli baba hana
 
Back
Top Bottom